J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Wewe ni Y bana......ingekuwa ni M......huu uzi ungegeuka juu chini.......maana ingekuwa ni my mtu chake najua.......ningeua mtu.......

My dear usihofu........upo salama.....hakuna mapinduzi wala mageuzi..,
 
Last edited by a moderator:
Angekua hakupi hela ungempenda na kuja na thredi ka hii?!
 
Angekua hakupi hela ungempenda na kuja na thredi ka hii?!

ha ha ha ha..kazunguka weeee,lakini pointi ya wazi ni 1 tu:"mwanaume mkarimu",na hapo ndipo swali lako linapokuwa na mashiko!
Mkuu akikujibu nistue nirudi kusoma huu uzi.
 
Ahsante my luv @B nakupenda kwa moyo wangu wote.... ila punguza mizinga mpenzi wangu @B pesa imekuwa ngumu kupata nana
 
Kila la heri na J wako, mungu awabariki mfunge ndoa na muishi kwa furaha na Amani.
 
Hongeraaaaa sana Mungu awajaliee mtimize malengo yenu
 
Wewe hujapenda wala....

Hujui kupenda ni kufanya nini,ukiwa unamuwaza mtu siku nzima kama wewe hujapenda bali wewe ni mgonjwa......

Kwanini umpende mtu halafu umuwaze siku nzima?

Kuopenda gani huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…