Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Nitakucheck upande wa pili Dr...habari nzuri hii
Inshaallah Dr............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakucheck upande wa pili Dr...habari nzuri hii
we si uliniacha..nimepata mbeibe mpyaAisee roho almanusra iniponyoke kwa jinsi nilivyopata mshtuko!!
we si uliniacha..nimepata mbeibe mpya
Mmmh........ngoja niangalie members wanaoanziwa na J...
Ahsante PretaOooh.......basi mine yeye jina lake linaanzia na F.......sio yeye.........
Na ww lako laanziwa na J?Kumbe mko wengi ehhh!!
Angekua hakupi hela ungempenda na kuja na thredi ka hii?!
Angekua hakupi hela ungempenda na kuja na thredi ka hii?!
Kila la heri na J wako, mungu awabariki mfunge ndoa na muishi kwa furaha na Amani.