Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

Kuliko Wanyakyusa wanaochuna ngozi Ndugu yake ili awe Tajiri

Waarabu ni makatili kuliko Wasukuma wanaoua Mtu aliemzalia Mzazi wake kwa kuwa tu rangi ya macho imekuwa nyekundu kutokana na Moshi wa kuni wa kumkuza Mzazi aliemzaa huyo muuaji?
Unajitia ujinga ujinga. Waulize wafanyakazi wa ndani wanaokimbilia uarabuni. Especially Kenyans. Waarabu ni Mbwa wale tena Kenge Kabisa
 
Kuna mtu mbaguzi na mdini kama huyo mwarabu, vipi ulifurahishwa na ule ukatili wake wa kuwauza mababu zetu kama bidhaa, vipi mabinti zetu wanaofanya kazi za ndani huko visa vya manyanyaso wanavyofanyiwa kwa sababu ya rangi yao, usitake kujitoa ufahamu...​
Hivi hawa mababu zetu waliuzwa sehemu gani na wakina nani walikuwa wateja?
 
Mwarabu yeye ndo alikuwa anakamata na kusafirisha kupeleka huko America na kwingineko kwa ajili ya kazi za kutumikishwa hasa mashambani, unajua wamarekani weusi ni matokeo ya biashara ya utumwa.
 
View attachment 2702801

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
Oyeee
 
Kuna mtu mbaguzi na mdini kama huyo mwarabu, vipi ulifurahishwa na ule ukatili wake wa kuwauza mababu zetu kama bidhaa, vipi mabinti zetu wanaofanya kazi za ndani huko visa vya manyanyaso wanavyofanyiwa kwa sababu ya rangi yao, usitake kujitoa ufahamu...​
Babu zetu ndio waliwauza kwa waarabu.Na kama wanateswa huko kwenye kazi za ndani,wamelazimishwa wakafanye hizo kazi?
 
Mwarabu yeye ndo alikuwa anakamata na kusafirisha kupeleka huko America na kwingineko kwa ajili ya kazi za kutumikishwa hasa mashambani, unajua wamarekani weusi ni matokeo ya biashara ya utumwa.
Huyo muarabu alikuwa na nguvu gani ya kumshinda mwafrika?Tumia akili,mababu zetu wa kiafrika ndio waliokuwa wakiwauza wenzao.Mgeni atoke arabuni aje tu,akukamate!?Ni mababu wetu wa kiafrika waliokuwa wajanja,waliwauza wenzao,hawa mababu ndio wakulaumiwa.
 
Wewe lazima utakuwa gaidi.Mwizi,kila anayemuona hufikiria ni mwizi kama yeye.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nyie mkiwa wachache. Mnatia huruma sana, njoo kwenye dini ya haki ila mkiwa wengi ni hatari sana.
 
View attachment 2702801

Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka

Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila.

Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na hakitawasaidia chochote. Poleni sana. Waarabu oyeeeeeee
Wagalatia ni watu wa chuki sana
 
Mwarabu yeye ndo alikuwa anakamata na kusafirisha kupeleka huko America na kwingineko kwa ajili ya kazi za kutumikishwa hasa mashambani, unajua wamarekani weusi ni matokeo ya biashara ya utumwa.
Kwahiyo hata huyu mteja alichangia biashara hii kukua
 
Tatizo lako unawaona waarabu kwenye TV.Fanya nao kazi ndo utaelewa rangi zao halisi. herí Mchina au mhindi lakini SIYO Mwaarabu

Hivi upo dunia ya wapi? Waarabu wamejaa tele, wamezaliwa na kukulia huku na wala hawana shida, chuki zimekujaa mkuu, hebu chukua kioo ujitazame kisha kaa chini ujitathmini upya wapi unakosea.
 
Back
Top Bottom