Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
- #41
Kuna mtu mbaguzi na mdini kama huyo mwarabu, vipi ulifurahishwa na ule ukatili wake wa kuwauza mababu zetu kama bidhaa, vipi mabinti zetu wanaofanya kazi za ndani huko visa vya manyanyaso wanavyofanyiwa kwa sababu ya rangi yao, usitake kujitoa ufahamu...
Wakati anauzwa babu yako ulikuwepo?