Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi


Wakati anauzwa babu yako ulikuwepo?
 
Hakuna ulipoandika.Ila,mwandiko wako unatoa harufu kali ya ubaguzi na kutukuza jamii fulani.

Nipo kwenye haki bila kujali dini ya mtu, rangi ama kabila, na siwezi kuona ndugu yangu katika imani akidhalilishwa na kuzushiwa uongo na mtu asie na dini nami ninyamaze, hilo ondoa akilini mwako mzee, nitamtetea na kuwa upande wake. Haki bin haki


Bhujiku ng'waka
 
Hiyo "ndugu yangu katika imani" bado unaitumia kwa makengeza.
 

Thibitisha unachokisema!
 
Ubaguzi huwezi kukoma,huyo Mungu kama alitaka watu wasibaguane basi angefanya Dunia nzima iwe na dini mmoja
 
Huyo ambaye si wa Imani yako ukiona haki yake inaporwa utanyamaza?

Sitonyamaza inshaaAllah, ndio maana nipo kwenye haki. Muislamu amdhulumu asie Muislamu si sahihi, na kwa asie muislamu kufanya hivyo pia si sahihi. Ni dhambi
 
Mimi ni mgalatia konki aliyekubuhu. Lakini katika hii ishu ya bandari niko na mana. Na ninamuunga mkono iuzwe kwa hawa waarabu.
 
Unajitia ujinga ujinga. Waulize wafanyakazi wa ndani wanaokimbilia uarabuni. Especially Kenyans. Waarabu ni Mbwa wale tena Kenge Kabisa

Unawatukana waarabu mbwa, ila wewe kufananishwa na watu flani kima unavimba na kuona unabaguliwa! Chuki zako zitakupeleka pabaya, wewe kama huwapendi waarabu basi mimi na waislamu wenzangu tunawapenda sana. Na sio tu waarabu, tunawapenda wote bila kujali imani, rangi au kabila la mtu. Uisilamu umetufundisha tupendane na sio kuchukiana mzee baba
 
Pole kwa maumivu unayopitia mkuu, huwajui waarabu zaidi nnavyowajua mimi, hivyo ni heri ukapisha huu mjadala. Ahsante

Bhujiku ng'waka
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sawa mwarabu mweusi wa Oman. Ndugu zake na Mwaarabu
Hongera mkuu mwarabu mweusi
 
😁😁😁😁😁😁😁😁
Ushakuwa Mwaarabu tayari.
Kawaulize wale waafrika waliokuwa Tunisia. Waarabu hawafai. Mnajipendekeza ila wenyewe hawataki mtaharibu uwarabu wao mkienda kule.
Ni salama sana kuishi nchi za makafikiri kuliko waarabu.
Kuna visa ya kwenda Afghanistan kwa waarabu wenzako
 

Haya bwana johnny, nakuona bado huelewi, na unaendelea kuongea bila ushahidi wowote

Bhujiku ng'waka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…