Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Kapi...Kkkkkkkkk!! Samahani mkuu pia asante kwa katusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapi...Kkkkkkkkk!! Samahani mkuu pia asante kwa katusi
Sawa mtani nimefunga mdomo wanguMtani acha kumuelekeza bwana utaniharibia biashara....wenzio ndio zinazotuweka mjini....
Sasa kimbelembele cha nini cha kuleta humu jukwaani???unanilipa shi ngapi kwa mfano?
Ni mnyasa ![emoji2]Jack pemba ni mtanzania???
Mtapeana takotuKwan ulivyopost hapo nan amekulipa?
Nani kakualika kukomenti?Kwan ulivyopost hapo nan amekulipa?
yuko lupango Sunday huku shangazi akafanya yakeHivi huyo shangazi ezekiel kaolewa mara ngapi hadi sasa!? kuna kipindi alioelewa dubai na jamaa kama katoto kanaitwa sunday demonte waliishia wapi?
Mtapeana takotuKwan ulivyopost hapo nan amekulipa?
Hela katoa wap huyuNi mnyasa ![emoji2]
Mi nimemkubali hustler wa ukweliKweli mpiganaji hafi bali huzimia tu. .huyu mchizi angekuwa ana roho nyepesi kipindi kile alivyokatiwa mirija yake shavu akapewa kanali kipingu angekuwa mwingine angedata. .au alivyofanywa korongwee na kina msofe. ..hizi fujo kama huna mitkasi nazo hazitakiwi zikuume na kutolea mfano sijui dangote sijui dewji...huyu mtu haya ndo maisha kabla hata ya teknolojia kipindi hiko anajaza makaratasi kwenye wallet akiwa anasoma kinondoni muslim
anafanana na wachewa wa malawi,hv uyu jmaa ni mkongo eeh?