Jack Pemba na jeuri ya fedha

Jack Pemba na jeuri ya fedha

Jack pemba ni mtanzania???
Ni MTz na mtoto wa mjini Ana kaka yake anaitwa Eliud Pemba alikua ITV na bro mwingine story yake iliandikwa mwananchi na humu JF anapenda kuvaa nguo za kike lkn sio shoga kama mwenyeji Segerea utakua umemuona!Alishawahi kusumbua na Auntie Ezekiel enzi hizo akiwa anajulikana kama Auntie Pemba
 
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.

Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo

Hiyo si jeuri ya fedha ila ni ulimbukeni mkubwa! Kama angeenda kuwatembelea mayatima na kuwaachia chochote, hiyo ndo ingekuwa jeuri ya fedha.
 
Ni MTz na mtoto wa mjini Ana kaka yake anaitwa Eliud Pemba alikua ITV na bro mwingine story yake iliandikwa mwananchi na humu JF anapenda kuvaa nguo za kike lkn sio shoga kama mwenyeji Segerea utakua umemuona!Alishawahi kusumbua na Auntie Ezekiel enzi hizo akiwa anajulikana kama Auntie Pemba
jack pemba anapenda sana mashoga, hata huko uganda nasikia kawapangishia mashoga
 
Kama ataishi milele vile
Nice.
Tajiri ni yule anayetoa kwa wale ambao hawana.
Masikini ni yule ambaye bado anakusanya hata kama ana bilioni nyingi zaidi.
Utajiri wa mtu upo moyoni mwake bali si kwa vile anavyovimiliki.
Binafsi naamini hivyo.
 
Sasa kama ana hiyo pesa kwanini basi asijenge carwash kabisa ambayo maji yake ndo huo mvinyo? Anapaleka order kwenye kampuni ya mvinyo halafu inakuja tanker zima zima la mvinyo ambao unajazwa kwenye matenki ya carwash,
 
Kaka yake anavaa nguo za kike kwa stress Segerea yeye Anamwaga dollar!!
chuche-jpg.155516

Anaitwa bibie....no samahani wadau ni bwana Chuche Pemba
 
Wabongo bana mara dangote mara mo mara bill gates.....yeye kaamua kuonyesha gari zake hao akina mo sijui dangote hawahusiki hapa....btw kajitahidi magari karibu $500k si haba
 
Maskini

Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.
maskini akipata Hadi matako huongea
 
Huyu jamaa si ndo ana undugu na Yule mdada Instagram Mwenye hips na matako makubwa Junaithar Pemba!
 
Back
Top Bottom