Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah! kafungiwa wapi?Sunday kafungwa kesi ya madawa
Hivi aunty ana ndoa ngapi, bwana ake si yule alifungwa?unanilipa shi ngapi kwa mfano?
Namuombea usiku na mchana ashinde uraisi Marekani ukiunganisha na Magufuri mbona tutafurahi.Trump akituambia ukweli kuwa waafrika tunatakiwa kutawaliwa tena tunaona tunatukanwa
Oyoo okkkkTunapeleka bank tunawauzia
Unaweza kunielewesha kidogo?!Tunapeleka bank tunawauzia
Itakuwa uarabuni na washamkata seal ya kalio[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sorry mikono imetelezadaaah! kafungiwa wapi?
Weee mambo ya kutawaliwa hapanaNamuombea usiku na mchana ashinde uraisi Marekani ukiunganisha na Magufuri mbona tutafurahi.
Utajiri una siri kubwa sana...Sema haki ya mungu
Kwani hivi sasa hautawaliwi na CCM?Weee mambo ya kutawaliwa hapana
Mi najua ukipeleka bank wanakukata some percent sina uhakika sanaaaa .. Ila kama una pesa iliyochakaa peleka bankUnaweza kunielewesha kidogo?!
Yaani napata kwa mchangamanuo....... gani Ina maana dola.. Zinanunuliwa kwa ukubwa let's say 1dala[emoji15] na 100 dalaz Zina tofauti ya bei.?!!!
Sasa shangazi mbona unatutusi siye watu wa shamba tunalima mihogo tunauza mihogo na tuna kula mihogoHaha ha upuuz tu Utakuta kwao wanashindia mihogo na kachumbari kama Padre slaa ni musenge tu
Hivi haya maneno maana yake nini? Mshana jr na wengine msaada pliz[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbili..Jack na sundayHivi aunty ana ndoa ngapi, bwana ake si yule alifungwa?
Sitawaliwi na mtu yeyote kubafu.... Labda ccm inakutawala wwKwani hivi sasa hautawaliwi na CCM?
Mtani acha kumuelekeza bwana utaniharibia biashara....wenzio ndio zinazotuweka mjini....Mi najua ukipeleka bank wanakukata some percent sina uhakika sanaaaa .. Ila kama una pesa iliyochakaa peleka bank
Kkkkkkkkk!! Samahani mkuu pia asante kwa katusiSitawaliwi na mtu yeyote kubafu.... Labda ccm inakutawala ww
Wewe ni na Jacky pembaSasa shangazi mbona unatutusi siye watu wa shamba tunalima mihogo tunauza mihogo na tuna kula mihogo
Eti kosa liko wapi.
Changia mada au pita tuu kana huna lakusema usiseme,
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.
Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo
Wacha uchimvi... Hata MI nasaka ngawira..Mtani acha kumuelekeza bwana utaniharibia biashara....wenzio ndio zinazotuweka mjini....