Jack Pemba na jeuri ya fedha

Jack Pemba na jeuri ya fedha

Hayo mambo ya kishamba hata huku machimboni yanafanywa na kila mchimbaji akizipata.
 
Trump akituambia ukweli kuwa waafrika tunatakiwa kutawaliwa tena tunaona tunatukanwa
Namuombea usiku na mchana ashinde uraisi Marekani ukiunganisha na Magufuri mbona tutafurahi.
 
Unaweza kunielewesha kidogo?!


Yaani napata kwa mchangamanuo....... gani Ina maana dola.. Zinanunuliwa kwa ukubwa let's say 1dala[emoji15] na 100 dalaz Zina tofauti ya bei.?!!!
Mi najua ukipeleka bank wanakukata some percent sina uhakika sanaaaa .. Ila kama una pesa iliyochakaa peleka bank
 
Haha ha upuuz tu Utakuta kwao wanashindia mihogo na kachumbari kama Padre slaa ni musenge tu
Sasa shangazi mbona unatutusi siye watu wa shamba tunalima mihogo tunauza mihogo na tuna kula mihogo
Eti kosa liko wapi.
Changia mada au pita tuu kana huna lakusema usiseme,
 
Sasa shangazi mbona unatutusi siye watu wa shamba tunalima mihogo tunauza mihogo na tuna kula mihogo
Eti kosa liko wapi.
Changia mada au pita tuu kana huna lakusema usiseme,
Wewe ni na Jacky pemba
Dr slaa ama vepeeee.. [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] nimesema nililosema kuchukua.... hawa mbululaz wanaomkufuru Mungu..... Halafu na ww unataka kujitia kwenye kundi lao wakati we maskini tu..... Mchewwww. Au unatangaza beshara ya ming'oko[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kausha. Wacha ligi za kimaandazi
 


Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.



Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo

Jack pemba ni mtanzania???
 
Back
Top Bottom