Jack Pemba na jeuri ya fedha

Naangalia results za uchaguzi Uganda kuna nyama mmoja anafanana na Lubuvu!
 
Hiyo ni kufuru, lakini Mungu huwa analipa hapa hapa Duniani. Kama Ana hela haitaji kufanya hayo, maana mwisho wa siku ukiwa nazo utaonekana tu unazo
 
Kweli mpiganaji hafi bali huzimia tu. .huyu mchizi angekuwa ana roho nyepesi kipindi kile alivyokatiwa mirija yake shavu akapewa kanali kipingu angekuwa mwingine angedata. .au alivyofanywa korongwee na kina msofe. ..hizi fujo kama huna mitkasi nazo hazitakiwi zikuume na kutolea mfano sijui dangote sijui dewji...huyu mtu haya ndo maisha kabla hata ya teknolojia kipindi hiko anajaza makaratasi kwenye wallet akiwa anasoma kinondoni muslim
 
Mi nimemkubali hustler wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…