Ni MTz na mtoto wa mjini Ana kaka yake anaitwa Eliud Pemba alikua ITV na bro mwingine story yake iliandikwa mwananchi na humu JF anapenda kuvaa nguo za kike lkn sio shoga kama mwenyeji Segerea utakua umemuona!Alishawahi kusumbua na Auntie Ezekiel enzi hizo akiwa anajulikana kama Auntie PembaJack pemba ni mtanzania???
Hiyo si jeuri ya fedha ila ni ulimbukeni mkubwa! Kama angeenda kuwatembelea mayatima na kuwaachia chochote, hiyo ndo ingekuwa jeuri ya fedha.
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.
Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo
jack pemba anapenda sana mashoga, hata huko uganda nasikia kawapangishia mashogaNi MTz na mtoto wa mjini Ana kaka yake anaitwa Eliud Pemba alikua ITV na bro mwingine story yake iliandikwa mwananchi na humu JF anapenda kuvaa nguo za kike lkn sio shoga kama mwenyeji Segerea utakua umemuona!Alishawahi kusumbua na Auntie Ezekiel enzi hizo akiwa anajulikana kama Auntie Pemba
Nice.Kama ataishi milele vile
Kaka yake anavaa nguo za kike kwa stress Segerea yeye Anamwaga dollar!!
Uyu jamaa ana thread yake hapa JF ya miaka mingi kidogo ikimuelezea kwa ndani nakumbuka niliifuatilia sana
Anaitwa bibie....no samahani wadau ni bwana Chuche Pemba
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.
maskini akipata Hadi matako huongea