- xplanation nyingi za nini kwa yeyote anaejua mpira atakwambia wilshere jembe , katoka kwa injury juzi tu wakamwita kwenye team ya taifa, ona alivosettle fasta na present squad ya gunners sasa hivi see how he possesses de ball, yani yule kaka kataa sasa hivi yule ni bonge ya medfield utaona atakavokuja kuwa labda aumie, emb mu observe vizuri nxt match ya gunners ndo uje nipinga hili, acha kabisa eroo. Na mourinho lazima amshobokee one day.
- back to the question ngekuwa mm ni kocha ningemwita JW.
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
That's why nikasema ana potentials za kuja kuwa kama Steve G, but for now bila ushabiki (coz me sio Man Utd's fan) Cleverly ana perform zaid ya Wilshere, Jack has not yet display his potentials.
1. Wilshere more prone to lose the ball
2. Cleverley's the more accurate passer
3. Cleverley is better defensively
4. Tom Cleverley: England's Iniesta
Ndg yangu MOURINHO, inawezekana kwakiasi kikubwa sana Tom unayemwona anabebwa kwa kiasi kikubwa sana na players anaocheza nao pale Utd angalia pia players anaocheza nao JW, am sure mchukue JW mtupe pale Utd itakuwa ni gumzo,so JW zaidi
Kaka weka u-fans pembeni, JW kamwacha kwa mbali sana Tom, Wilshere ana vitu vingi than Tom
Jack ni noma ... Ana moyo wa steven gerald ,.... Cleverly baadaye saaaana
Vitu vingi alivyonavyo JW ni vipi? tutajie walau 3 vya muhimu
You just tune in when The Gunners guns down a prey