tofauti yao ni kwenye mechi kubwa.kama uliangalia mechi za Arsenal na timu za big four like na liva,chelsea,man city,man u utakubaliana na mimi kuwa kwenye hizo gemu JW huwa anapotea kabisa tofauti na TC.JW msubiri kwenye mechi na timu za kati na chini kwenye msimamo wa ligi ndo utamsikilizia raha yake.may be its due ya mentality ya team.man u kwa mfano haina wachezaji wenye majina kiviiile but wanapambana sana uwanjani hadi sekunde ya mwisho.