The Mastermind
Senior Member
- Dec 3, 2012
- 107
- 50
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vema mkuu Mourinho Jack Wilshere ni kijana mzuri lakini bado anakibiliwa na tatizo la kutokomaa na kushindwa kukabili tension ya mchezo, hili limemweka matatani mara kadhaa na kuishia kupata either yellow card ama red card kabisa. Tom Cleverly kwa kweli anacheza kwa utulivu na tahadhari sana ingawa pia nae sometimes tension hutaka kumzidi kimo but he's the best compared to Jack.Cleverly no doubt, he is more matured than Jack, anacheza box to box, can see a killer pass na mfungaji mzuri wa magoli plus ana winning mentality unlike his counter part
Oscar wa Chelsea is the on the top of the two
Ntamuweka Tom kwasababu anatumia akili kuliko nguvu,vilevile anaweza cheza muda mrefu bila kupata kadi ya aina yoyote ile.
Cleverly no doubt, he is more matured than Jack, anacheza box to box, can see a killer pass na mfungaji mzuri wa magoli plus ana winning mentality unlike his counter part
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
JW ni jembe..........
Jw jembe sanaaaaa, kamzidi sana huyo cleverly msiongelee ushabiki
Jw jembe sanaaaaa, kamzidi sana huyo cleverly msiongelee ushabiki