Jackie cliff: Sipendi kuona Tanzania ikiyumba kwenye suala la mitindo

mpenzi.....
we hujamiss jack na swagger zake kwa red carpet.
Alikuwa anavaa kweli anawaka tena nguo zake disposable(harudii).

Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish
 
Hahahaaaa..eti chanzo cha karibu ambacho hakikutaka kuwekwa hadharani

Hahaha ndivyo vyanzo vyake yule maana chanzo ni yeye mwenyewe anaoteshwa akiamka anatupiga sound yule bibi katisha.
Hivi ndiye aliyandika ile story ya kumpakazia diva kwamba anapika na kupakua kwa zitto?
 
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish

Hhhhaaa duuuu anatamka kispanish tenaaa
 
Hhhhaaa duuuu anatamka kispanish tenaaa

we hujamskia kwani, yani mimi mara ya kwanza kujua bidada ka undergo chemical change ni kwenye lile tukio la uzinduzi wa video ya my #1 . Yani nilipomsikia sikutaka kuendelea sikiliza swanish anayomwaga.. Na toka siku hiyo naona ni mwendo ule ule.
Sema siku hizi kwa akina dada rahisi sana kuongea kingereza la msingi ujue maneno yafuatayo
1. Its like..
2. Daah
3. Aah
ukijua hayo ukatupia na swaga za kim K kwisha kazi
 
Tumkumbuke kwa lipiiii?? Si unaona eti anaongelea mitindo yaan akili yake ipo anapopitishiwa tule tupipi twa drugs
kwanini wasingemnyonga tu huyu malaya.kaharibu vijana wa watu halafu anajidai fashion. fashion atafanyia ndani ya nguo za jela...shenzi type
 
Labda wanasubiri katiba mpya ipite ndio wamnyonge etii
 
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish

yaaan
ila jacky bwana mi namkubali
zile swaga na actually actually
aisee na ilikua kila red carpet yupo
 
Haka kamsemo wanakapendaaaa

Hamna cha chanzo cha karibu wala nini, umbea tu unawasumbua, kuna siku walitoaga habar humu wakasema eti chanzo makini cha habari kiliwaaambia wakati habar waliiba humu, nyie global hapana kwa kweli khaa!!
 
Hahaha ndivyo vyanzo vyake yule maana chanzo ni yeye mwenyewe anaoteshwa akiamka anatupiga sound yule bibi katisha.
Hivi ndiye aliyandika ile story ya kumpakazia diva kwamba anapika na kupakua kwa zitto?

Hapana ni mateja na nani sijui...
 
Umesahau

4. I know....
5. You know what. ..

we hujamskia kwani, yani mimi mara ya kwanza kujua bidada ka undergo chemical change ni kwenye lile tukio la uzinduzi wa video ya my #1 . Yani nilipomsikia sikutaka kuendelea sikiliza swanish anayomwaga.. Na toka siku hiyo naona ni mwendo ule ule.
Sema siku hizi kwa akina dada rahisi sana kuongea kingereza la msingi ujue maneno yafuatayo
1. Its like..
2. Daah
3. Aah
ukijua hayo ukatupia na swaga za kim K kwisha kazi
 
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish

Ongezea na "Down to ess" hahahaa
 
Back
Top Bottom