Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish
mimi nampenda sana anapiga pamba balaa hakuna anayemfikia mpaka leo sijaona hao wengine barbadian queen and so on hamna kitu.
the only boss lady wheb it comes to fashion
Mmmhhhhhhh sema unampenda tu shosttt
mimi nampenda sana anapiga pamba balaa hakuna anayemfikia mpaka leo sijaona hao wengine barbadian queen and so on hamna kitu.
the only boss lady wheb it comes to fashion
Haka kamsemo wanakapendaaaa
hahahahaha Dinazarde alafu tena kuna kale kamsemo kao kengine, '' mpaka taarifa hii inakwenda mitamboni jitihada za kumtafuta mhusika hazikuzaa matunda, simu yake ilikuwa haipatikani au ilikuwa inaita bila kupokelewa'' wanaboaje sasa, nyoko zaoooo!mxiuuuu!!!!
Mmmhhhhhhh sema unampenda tu shosttt
Mpenzi kumbe sikujua kama wewe unamkubari jack... Ila usemalo kweli
umeona eeeeee.
Red carpet hata hazinogi jack alikuwa anapiga designer haswaaaa na zinamkaa(japo pesa za sembe)
mie nampenda anavyovaa tu anapiga sana.
we niambia nani celebrity anayemfikia huyo mama machache haoni ndani kwa jack.
Nimemmiss kutoka moyoni kwa kweli.
Lulu je/?? Umeona leo kwenye Nirvana? Je na Wema!!!
hakuna kitu wote hao saa anayovaa wema ya 25,000 boys watch hata mie ninayo nguo ndo kabisaaaaa huyo lulu hakuna kitu hajui fashion.
handbags zao za kawaaida zile za 65,000-70,000.
Sijaona nirvana, lulu katisha eeh? Umeona nyumba anayoishi sasa?
Ndani umepaona?
Chezeya ridh weye