elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
mpenzi.....
we hujamiss jack na swagger zake kwa red carpet.
Alikuwa anavaa kweli anawaka tena nguo zake disposable(harudii).
Hahahaaaa..eti chanzo cha karibu ambacho hakikutaka kuwekwa hadharani
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish
Hhhhaaa duuuu anatamka kispanish tenaaa
kwanini wasingemnyonga tu huyu malaya.kaharibu vijana wa watu halafu anajidai fashion. fashion atafanyia ndani ya nguo za jela...shenzi typeTumkumbuke kwa lipiiii?? Si unaona eti anaongelea mitindo yaan akili yake ipo anapopitishiwa tule tupipi twa drugs
kwanini wasingemnyonga tu huyu malaya.kaharibu vijana wa watu halafu anajidai fashion. fashion atafanyia ndani ya nguo za jela...shenzi type
Labda wanasubiri katiba mpya ipite ndio wamnyonge etii
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish
Hahaha ndivyo vyanzo vyake yule maana chanzo ni yeye mwenyewe anaoteshwa akiamka anatupiga sound yule bibi katisha.
Hivi ndiye aliyandika ile story ya kumpakazia diva kwamba anapika na kupakua kwa zitto?
we hujamskia kwani, yani mimi mara ya kwanza kujua bidada ka undergo chemical change ni kwenye lile tukio la uzinduzi wa video ya my #1 . Yani nilipomsikia sikutaka kuendelea sikiliza swanish anayomwaga.. Na toka siku hiyo naona ni mwendo ule ule.
Sema siku hizi kwa akina dada rahisi sana kuongea kingereza la msingi ujue maneno yafuatayo
1. Its like..
2. Daah
3. Aah
ukijua hayo ukatupia na swaga za kim K kwisha kazi
Anaeumia ni Jux na wazazi sie wengine walaaaa hata akidanja,angeongelea ajira bora hayo mavazi tutayala mfyuuuuu kaa huko huko uzae tuchina
Umesahau
4. I know....
5. You know what. ..
Na am so tired..
U know...
Mpenzi, kweli nimemiss swaga zake za zis dress nimenunua italy.
Na daah, its like....
Boss lady maskini.
Unaonaje ukichukua nafasi yake maana utafaa sana zile swaga za kuongea atakufundisha wolper maana katisha sana kiswahili anatamka ka kispanish
Halafu hizi you know au i know zinatamkwa kwa kuvuuuutwa kabisa
I knoooooo...
Yu knoooooooooo
Binamu nimemuona mama ubaya na gari jipya, sijui lake au ndo muazimo