Jackie cliff: Sipendi kuona Tanzania ikiyumba kwenye suala la mitindo

mimi nampenda sana anapiga pamba balaa hakuna anayemfikia mpaka leo sijaona hao wengine barbadian queen and so on hamna kitu.
the only boss lady wheb it comes to fashion
 
Mmmhhhhhhh sema unampenda tu shosttt
 
Mpenzi kumbe sikujua kama wewe unamkubari jack... Ila usemalo kweli
 
Haka kamsemo wanakapendaaaa

hahahahaha Dinazarde alafu tena kuna kale kamsemo kao kengine, '' mpaka taarifa hii inakwenda mitamboni jitihada za kumtafuta mhusika hazikuzaa matunda, simu yake ilikuwa haipatikani au ilikuwa inaita bila kupokelewa'' wanaboaje sasa, nyoko zaoooo!mxiuuuu!!!!
 
Last edited by a moderator:

Yaan acha tu au alietoa taarifa hii jina lipo kapuni wanapenda hivyo vimsemooo
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhhh sema unampenda tu shosttt

mie nampenda anavyovaa tu anapiga sana.
we niambia nani celebrity anayemfikia huyo mama machache haoni ndani kwa jack.
Nimemmiss kutoka moyoni kwa kweli.
 
Mpenzi kumbe sikujua kama wewe unamkubari jack... Ila usemalo kweli

umeona eeeeee.
Red carpet hata hazinogi jack alikuwa anapiga designer haswaaaa na zinamkaa(japo pesa za sembe)
 
Hewaaaa kumbee ungeturushia na mapichaaa ingekua poa zaidii
 
mie nampenda anavyovaa tu anapiga sana.
we niambia nani celebrity anayemfikia huyo mama machache haoni ndani kwa jack.
Nimemmiss kutoka moyoni kwa kweli.

Lulu je/?? Umeona leo kwenye Nirvana? Je na Wema!!!
 
hakuna kitu wote hao saa anayovaa wema ya 25,000 boys watch hata mie ninayo nguo ndo kabisaaaaa huyo lulu hakuna kitu hajui fashion.
handbags zao za kawaaida zile za 65,000-70,000.
 
Kumbeee alikua anawakimbizaa eeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…