Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3,490
Reaction score
10,749
Habarini,

Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.

Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..

Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁

Screenshot_20250321-192147.jpg

Screenshot_20250321-192703.jpg
 
Kati ya wadada masuper star ambao naweza kusema walichanga karata zao vizuri ni huyu mdada pamoja na umaarufu wake akaamua kwenda kwa babu maana alishachora ramani yake safi kabisa sasa hiv yeye n kula bata tu bila wasi wasi.
Kwani aliweza kumkamata mzee wa watu akampigishia mauno ya kufa mtu mzee ni kuandika tu mirathi😀😀
 
View attachment 3278947
View attachment 3278948
Mpongeze kwa niaba yetu na yako ndugu
 
Ni sawa anaweza kuwa anapata child support lakini bibiye muda mrefu ana mtu Dubai huko....

Jack kwa kipindi anafiwa na mumewe alikuwa 39 km sio 40 net ko bado anahitaji kuwa na mtu regards anajitunza vzr aseeh kwann asipate mtu wa kumpa maisha huko mamtoni
 
Kati ya wadada masuper star ambao naweza kusema walichanga karata zao vizuri ni huyu mdada pamoja na umaarufu wake akaamua kwenda kwa babu maana alishachora ramani yake safi kabisa sasa hiv yeye n kula bata tu bila wasi wasi.
Kwani aliweza kumkamata mzee wa watu akampigishia mauno ya kufa mtu mzee ni kuandika tu mirathi😀😀
Alijua mzee ni mtu wa safari one day akachonga michongo yake na mtu wa ticket siku mzee anasafiri Dubai nae akakata siti moja masaa matano tu dubai yalitosha kuteka ufahamu wa mzee akaingia kingi alipopata nafasi ya kutoana jasho hakufanya ajizi kuhakikisha damu ya mzee inakuwa ya moto.
Mzee akachonga mzinga kabisa leo anakula kilaini.
 
Back
Top Bottom