Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Nyie ndo uwanatapeliwa mtu akipiga picha yupo sehemu yenye hadhi mnajua ana pesa
Tatizo wengi wanamchukulia kama alikuwa hawara, hali ya kuwa ni mke halali wa Mengi, na wana watoto, hakuna mwanamke ataacha kupambana kwa ajili ya watoto wake.Kosa lake ni kutaka kuwapiga wachaga ili amiliki mali yote labda alitonywa kama anapenda kupumua, hivi unawezaje kumpiga mchaga pesa wakati maana tu ya neno Moshi.
Ni Mungu onyesha mahali pesa ipo
Ila mzee wangu mbona mnanifanyia hivi mjukuu wenu 🤔mtu humo humu toka jambo forum, nijifunze nini mimi mjukuuAlikuwa mchezaji wa Simba Sports Club kabla Haji Manara hajaachia ngazi ya usemaji wa team.
Pesa ndogo sana hiyo😎😹😹😹 Vincenzo Jr 🙌🏾
🤣🤣Ila mzee wangu mbona mnanifanyia hivi mjukuu wenu 🤔mtu humo humu toka jambo forum, nijifunze nini mimi mjukuu
😀Kijukuu chenu Gen alpha hapa nataka kujifunza kuhusu maisha
Hata asingepambana wasingemtelekeza tatizo ni kutaka kuleta uporaji ujawahi endesha hata saluni unataka uende mali za kampuniTatizo wengi wanamchukulia kama alikuwa hawara, hali ya kuwa ni mke halali wa Mengi, na wana watoto, hakuna mwanamke ataacha kupambana kwa ajili ya watoto wake.
Na nachoweza kusema huyu dada alimchanganya zaidi Mengi pale alipomzalia.
😹😹😹😎Pesa ndogo sana hiyo😎
Tupe mchakato Jacky aliotumia kumtrap Mzee Mengi, wanajf tule ubuyu Bird WatcherWatu wakisema Maisha Ni bahati Mimi huwa nakataa Kabisa kwasababu nime Witness mchakato mzima wa Jack kumtrap the Late Mengi, Haikuwa that easy kwa Mogul kama Mengi kufunga ndoa uzeeni vile na Kuzaa watoto kabisa, Jack kwa nafasi yake amepambana sana It was not that easy
Mmh jack kuumwa Hadi kufikia kuchangiwa, labda bonite bottlers iwe imefilisika NAGAMAHONGAShida wakizidiwaga na MAFUA tu hawanaga uwezo wa kujitibu.(utasikia wadau tumchangie jack amezidiwa)
Mmh jack kuumwa Hadi kufikia kuchangiwa, labda bonite bottlers iwe imefilisika NAGAMAHONGAShida wakizidiwaga na MAFUA tu hawanaga uwezo wa kujitibu.(utasikia wadau tumchangie jack amezidiwa)
Hawaelewekagi hao,ila Kila la kheir kwake.Mmh jack kuumwa Hadi kufikia kuchangiwa, labda bonite bottlers iwe imefilisika NAGAMAHONGA
Maisha ni Safari,Ishi upendavyo!Habarini,
Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.
Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..
Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁
View attachment 3278947
View attachment 3278948