Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

Early 40's?! Tofauti na mademu wengi wanaoingi Miss Tanzania wakiwa ndo kwanza wamemaliza Kidato cha VI, Jack alishiriki akitokea mtaani tayari ameshaanza maisha maisha kama Mwanamuziki! Kwa sasa atakuwa anaitafuta 50. Unamwona ni early 40's ni kwa sababu ya matunzo!!

Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
 
Hela ya kawaida tu hata huku uswahili unatengeneza zaidi ya hela hio nywele
Alijua mzee ni mtu wa safari one day akachonga michongo yake na mtu wa ticket siku mzee anasafiri Dubai nae akakata siti moja masaa matano tu dubai yalitosha kuteka ufahamu wa mzee akaingia kingi alipopata nafasi ya kutoana jasho hakufanya ajizi kuhakikisha damu ya mzee inakuwa ya moto.
Mzee akachonga mzinga kabisa leo anakula kilaini.
Kama wewe ni mwanaume kuna shida mahala go fix yourself, kama ni ke acha wivu na wewe tafuta safari na ma don.. blueprint si unayo alaa
 
Na maisha yako yakoje?

BTW, Wewe ni Mwanamke mtu mzima au binti? Kwasababu kwa Mwanamke Mtu mzima ni AIBU kujadili maisha ya watu wasiokufahamu wala kukuhusu
 
Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
mkuu classmates wa miaka iyo mnaweza msifanane miaka, mie nimesoma na jamaa wananizidi hadi miaka 10
 
Habarini,

Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.

Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..

Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁

View attachment 3278947
View attachment 3278948
Na mwaume ikaona hiki ndo Cha kuandika. Condom ingehusika ingempunguzia baba yako aibu,
Unamuonea wivu siyo!?
 
Kuonekana saloon tu tayari imeshaonekana ni habari ya ajabu? Hawa celebrate wanatabia ya kujilipua ili kuivuta attention kwa watu kama nyie......
Kwani mtu akijilipua akaenda zake kufuturu Dar Serena ndio muone ajabu kwani anaenda hapo kila siku???
Hata hivyo sioni kama ni sawa mwanamme kuwa bize kufuatilia maisha ya Demu????
 
Jack mziki kaimba baada ya miss Tanzania.

Jack kasoma Forodhani secondary na kamaliza form 4 mwaka 2002. Hivyo age yake kukadiria rahisi sana

Classmates wake jack wapo early 40s
Wewe itakuwa unamfahamu Jack Mwanamuziki baada ya kufanya collabo na Bushoke!!
 
Back
Top Bottom