G
guest-1790917349
Guest
😂😂😂Mm shamila wangu ameniomba pesa ya abaya na ya kupaka hina 😁😁😁
Sioni km penzi litakuwa live kuanzia April 🤣🤣🤣
😂😂😂Mm shamila wangu ameniomba pesa ya abaya na ya kupaka hina 😁😁😁
Sioni km penzi litakuwa live kuanzia April 🤣🤣🤣
Hapana mkuu😂😂Kwani nime sema uongo?
Uko poa lakini?Hapana mkuu😂😂
Yap yapUko poa lakini?
Uzima muhimuYap yap
Namshukuru Mungu
Basi huijui historia yake kimuziki vinginevyo usingesema ameanza kuimba baada ya kuwa Miss TZ!! Isitoshe nina mashaka ikiwa kweli unamfahamu vizuri! Yaani amemaliza Form IV 2002?! Are you serious?! Kwahiyo unataka kusema alishiriki Miss Tanzania akiwa Form II?! Ukweli ndo niliokuambia. Jack kashiriki Miss Tanzania akiwa mkubwa tofauti na Miss Tanzania wengi ambao wanakuwa below 20. Jack kwa upande wake alikuwa above 20, na kisanaa alikuwa na ya Bendi ya Tanzanite.Mimi jack namfahamu toka akiwa sekondari forodhani ndio maana nataja mpaka mwaka aliomaliza form 4
Huyo sio mdada kazaliwa 1977 ni age go ya kavuka ushangaziKati ya wadada masuper star ambao naweza kusema walichanga karata zao vizuri ni huyu mdada pamoja na umaarufu wake akaamua kwenda kwa babu maana alishachora ramani yake safi kabisa sasa hiv yeye n kula bata tu bila wasi wasi.
Kwani aliweza kumkamata mzee wa watu akampigishia mauno ya kufa mtu mzee ni kuandika tu mirathi😀😀
Mercy kapoa hasikiki wala kuoneka hivi yupo Tz kweli?Alibahatisha tu
Ht kina Jojo, mercy,nk walipita Kwa Mzee😅bila kusahau Lita so unajua
Yaani kimyaMercy kapoa hasikiki wala kuoneka hivi yupo Tz kweli?
Kama mambo yanamuendea poa sawa, si alikuwa na saloon enzi zile posta pale km nakumbuka vizuri.Yaani kimya
Labda aneanya kuishi privacy life
Nimegundua watu wengi sshv wamefanya kutoka kwenye life la maonyesho
Aminaaa rafikiNipo kipenzi changu naendelea vizuri God is good 😇🙏
Natumai na wewe ni mzima
Asante kwa kunijulia hali my dear it means alot ubarikiwe 🤗🤗