Na Kwa kumalizia ana undugu na young killer msodoki, mqenye impact zaidi ya akudo.Alikuwa mchezaji wa Simba Sports Club kabla Haji Manara hajaachia ngazi ya usemaji wa team.
Hivi haiwezekani mtoto wa mengi akaendeleza?Habarini,
Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child support, hizo ndo anakula nazo bata, yuko anasafiri sehemu tofauti tofauti ulimwenguni k.v USA, Dubai, akila bata kwenye mahoteli ya kifahari.
Jacky Mengi sahivi anaishi maisha ya ndoto ya wadada/slay queen wengi wa mjini, nafikiri yuko kwenye early 40's zake, yeye ni kula child support kwa mgongo wa twins wa Mengi, mpaka azeeke, hana haja ya ku-date na mwanaume mwenye sura mbaya kwa ajili ya hela, sahivi mmewe ashafariki, sijui mwanaume gani anakidhi haja zake za kimwili kwenye maswala ya mzabzabuano..
Baadhi ya picha zake latest akiwa kwenye hair salon (luxyhair), ambazo kuset nywele gharama yake per session sio chini ya $100 kwa session, maisha sio fea wakati demu wa Melancholic Melancholic akiomba elf 60 ya msosi anaonekana golddigger 😁
View attachment 3278947
View attachment 3278948
Unaongelea huyu gold digger aliyemuingiza mzee Meku kwenye matatizo hadi akafa kiutatanishi?Habarini,

Wewe itakuwa unamfahamu Jack Mwanamuziki baada ya kufanya collabo na Bushoke!!
Unakuwa tahiraaaSasa mtu kama Marehemu Mengi akuvue chupi bado uwe maskini! Utakuwa na laana gani?
Niliona yule dada aliekamatwa juzi kati hapa kuhusu kutapeli watu akionyesha chumba chenye pochi na viatu. Akawa anasema yeye hicho chumba ni viatu na pochi za mwezi mmoja, mwezi ukiisha vinarudishwa stoo vinaletwa vingine.Dollar 100 tu jamani? Kuna wadada hapa bongo wanavaa mawigi ya milioni na zaidi.
Bila shaka utakuwa unafanya kazi TISSAlijua mzee ni mtu wa safari one day akachonga michongo yake na mtu wa ticket siku mzee anasafiri Dubai nae akakata siti moja masaa matano tu dubai yalitosha kuteka ufahamu wa mzee akaingia kingi alipopata nafasi ya kutoana jasho hakufanya ajizi kuhakikisha damu ya mzee inakuwa ya moto.
Mzee akachonga mzinga kabisa leo anakula kilaini.
Wauza mbususu wale vibopa nakubaliDollar 100 tu jamani? Kuna wadada hapa bongo wanavaa mawigi ya milioni na zaidi.
ingia google😀Kijukuu chenu Gen alpha hapa nataka kujifunza kuhusu maisha
Alafu kuna neno linatumika humu "sijui mbususu" sijui Lina maana gani?
SawaSijawahi ila anaenda mwenyewe kwa hela yake,
🤣🤣Ko bata kwako ni kutengeneza nywele kwa dola 100 ambayo ni kama laki 2 na ushee?.
basi bado sana kijana, tuendelee kutafuta hela tu. (Maana haya ndio maajabu kwa kizazi hiki)
Alibahatisha tuKati ya wadada masuper star ambao naweza kusema walichanga karata zao vizuri ni huyu mdada pamoja na umaarufu wake akaamua kwenda kwa babu maana alishachora ramani yake safi kabisa sasa hiv yeye n kula bata tu bila wasi wasi.
Kwani aliweza kumkamata mzee wa watu akampigishia mauno ya kufa mtu mzee ni kuandika tu mirathi😀😀
Kwani nime sema uongo?