Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kwa hiyo hawajaachana?Hebu tujuze maana upo karibu na vyanzo vyao vya habariUwazi gani, Kwamba unaamini wameachana ......??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hawajaachana?Hebu tujuze maana upo karibu na vyanzo vyao vya habariUwazi gani, Kwamba unaamini wameachana ......??
Kaskendo gani tena!!?[emoji33]Huyu ntonto nzuri sijui Kale ka skendo huwa ni karibu kweli make mmmh
HAWAJAACHANA,anawaangalia tu jinsi mnavyofuatilia mahusiano yake,na anapenda mno mnavyotokwa na mapovu.Kwa hiyo hawajaachana?Hebu tujuze maana upo karibu na vyanzo vyao vya habari
Etiiii huwa ana fish fish downstair inasemekanaaaaaaKaskendo gani tena!!?[emoji33]
Povu kwa kipi sasa kwani kuna mtu kamuomba alie.......HAWAJAACHANA,anawaangalia tu jinsi mnavyofuatilia mahusiano yake,na anapenda mno mnavyotokwa na mapovu.
la kichina..haaaaaaaaaa eti sio chozi la nchii hii.... litakua chozi la wapi..
😀😀😀Kwa hiyo hawajaachana?Hebu tujuze maana upo karibu na vyanzo vyao vya habari
haina uhusiano na kuachwaAlikuwa mshabiki wa EDO lakini ghafla siku hizi karudi CCM
Mmmmh,, lakini si ndio utamu wenyewe,, kwani hakuna mabafu..?Etiiii huwa ana fish fish downstair inasemekanaaaaaa
Kwanza jua yule ni MUIGIZAJI,kwahiyo kutoa machozi kwake sio kesi . Lakini pia huko "kulia" ndiko kunawafanya mumjadili kwamba kaachwa,na ndicho kitu anachokitaka na ndio kilichotokea na ndio furaha yake kuona mnaitana kwenye page yake,na KUNA UWEZEKANO KAMWAMBIA HADI BWANA'KE "LEO NATAKA KUWATOA MAPOVU WATU"Povu kwa kipi sasa kwani kuna mtu kamuomba alie.......
Time will tell mahusiano yenye show off yani huwa ni rahisi kujua hata tofauti labda kama sio mpenda umbea teh.
Kaachwa na mmakonde wa darAmeachwa na nani? Maana nilisikia hata yule kondakta wa Dar ambae alipo Mungu yupo nae anafaudu utamu, na ndiye shinizo la mtoto mzuri kurudi CCM.
Wapi tumetokwa na mapovu?HAWAJAACHANA,anawaangalia tu jinsi mnavyofuatilia mahusiano yake,na anapenda mno mnavyotokwa na mapovu.
Ha ha ha ha ha nitakutag kwa Ubuyu zaidiKwanza jua yule ni MUIGIZAJI,kwahiyo kutoa machozi kwake sio kesi . Lakini pia huko "kulia" ndiko kunawafanya mumjadili kwamba kaachwa,na ndicho kitu anachokitaka na ndio kilichotokea na ndio furaha yake kuona mnaitana kwenye page yake,na KUNA UWEZEKANO KAMWAMBIA HADI BWANA'KE "LEO NATAKA KUWATOA MAPOVU WATU"
Mi huwa siamini lakini nahisi kasingiziwa....Mmmmh,, lakini si ndio utamu wenyewe,, kwani hakuna mabafu..?
Etiiii huwa ana fish fish downstair inasemekanaaaaaa