Jacob Boniface: CCM wako tayari nchi iwekewe vikwazo ili mradi tu Lissu asitoke gerezani

Jacob Boniface: CCM wako tayari nchi iwekewe vikwazo ili mradi tu Lissu asitoke gerezani

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi inakosa misaada ya maendeleo ili mradi tu sauti ya Lissu izimwe.

TPp78DXsN5Wguhaj.jpeg
 
Na sio ma ccm wote, hapo precisely ni samuya zaidi...anajua jamaa kamzidi akili mara 1000 hivyo atamfunika akiwa uraiani!.
Imagine ujinga kama ule wa kutuambia bei ya mafuta marekani ni dola 8000 kwa lita moja Lissu angekuwa nje ingekuwaje?!.
 
Back
Top Bottom