Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi inakosa misaada ya maendeleo ili mradi tu sauti ya Lissu izimwe.
Na sio ma ccm wote, hapo precisely ni samuya zaidi...anajua jamaa kamzidi akili mara 1000 hivyo atamfunika akiwa uraiani!.
Imagine ujinga kama ule wa kutuambia bei ya mafuta marekani ni dola 8000 kwa lita moja Lissu angekuwa nje ingekuwaje?!.