Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza...Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.
Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Huyu alikuwa ni WA kufungwa tu.wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Ma DAS hawana maokoto mengi kiasi cha laki mbili kua tone katika maokoto yao, sidhani kama hata wanafika m5 kwa mweziKwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza......
Kila anayeuguliwa........
Kila aliyepata madhila ya kifamilia......
Akafanye huo uhuni????
Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini.
Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi????
Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi?????
Unaelewa posho za vikao anazopata ni Shingapi?????
Hebu acha upumbav wako kutetea ujinga.
Labda wewe ni mke wake ndo maana unamtetea.
So M5 kwako ni ndogo???Ma DAS hawana maokoto mengi kiasi cha laki mbili kua tone katika maokoto yao, sidhani kama hata wanafika m5 kwa mwezi
Yawezekama hiv yawezekana vile its all bullshit. ni utov wa nidham kwa alichokifanya ashughulikiweKuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.
Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Acha uzwaza mwizi ni mwizi tu hata umpe mshahara wa million mia moja, hii ni tabia ya mtuKwa hiyo Kila aliyepata kazi mara ya kwanza......
Kila anayeuguliwa........
Kila aliyepata madhila ya kifamilia......
Akafanye huo uhuni????
Laki 2 kwa DAS ni tone la maji Baharini.
Unaelewa mshahara wa DAS ni Shingapi????
Unaelewa OC ya Ofisi anayopata DAS ni Shingapi kwa Mwezi?????
Unaelewa posho za vikao anazopata ni Shingapi?????
Hebu acha upumbav wako kutetea ujinga.
Labda wewe ni mke wake ndo maana unamtetea.
Mkuu usihukumu bila kuwa na taarifa sahihi na uthibitisho usione na shaka kwa unaye hukumu, hutatenda haki!Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya muhudumu kuhusu umuhimu wa risiti.
Mnaomfahamu tusaidieni picha na CV yake wakati akisubiri kupangiwa kazi nyingine
Uliza uambiwe DAS hakosi laki mbili kwa siku kwenye michakato ya kawaida ofisiniMa DAS hawana maokoto mengi kiasi cha laki mbili kua tone katika maokoto yao, sidhani kama hata wanafika m5 kwa mwezi
Kumbe maDAS wanayo maokoto,michakato ya kawaida hakosi laki mbili,ukijumlisha na mshahara labda mil.5,uje posho za vikao,aisee... serikalini hela ipo.Uliza uambiwe DAS hakosi laki mbili kwa siku kwenye michakato ya kawaida ofisini
Accounting officer wa wilaya anakosa vipi laki mbili kwa siku ,jambo hili haliwezekaniKumbe maDAS wanayo maokoto,michakato ya kawaida hakosi laki mbili,ukijumlisha na mshahara labda mil.5,uje posho za vikao,aisee... serikalini hela ipo.
Na ni mwizi mzuri tuJacob Rombo akisherehekea na wahitimu wenzake baada ya kulamba Masters of Business
View attachment 2942319
Lakini pia ana PhD ya Enterprise Management.
Jacob Rombo ni kiongozi poa sana.