Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jamani kuna familia ni kauzu, mtu ukiwa na mali nako ukitangulia huku nyuma unaacha shida, ukiwa kapuku madeni yote wanabaki nayo watoto na mke, hii hatari sana , ila mwanamke kama upo kwenye familia wanaoujua utu na Upendo unamshukuru MUNGU sana.
 
Aise kwa hiyo wanamlia rada ha ha ha.
 
wazungu wanaita "gold digger", yaani mtu anayeolewa ili tu akapate utajiri lakini sio upendo wa kweli. kwa mtoto mzuri kama huyu kwamba akaonye sehemu za siri za mzee, k n.k, hakuna upendo wowote zaidi ya kutafuta utajiri. imagine mzee kama huyo alikuwa anashikwa shikwa na mjukuu huyo.
 
humu ndani kuna watu wajinga, kwani kuna mtu amesema jack asipate kitu? shida inakuja wosia kusema apate zote wenzake wasipate. mbona mnafikiria kwa kutumia kamasi nyie? mabush lawyers.
 
haijawahi tokea bro.
 
Vidingi vya makamo wenye vijisenti au mawe ya kutosha tujifunze/mujifunze!

Unaendaje kuoa mwanamke ambaye mwanao Abdiel ndo alistahili awe anachapa everyweekend hapo?! Tena kuanzia Ijumaa mpaka jumapili alasiri... jioni anampa cheque yake au anamchezeshea muamala wa benki fasta! akalale na pesa kidogo ya matumizi kama 500 USD hivi.... then wanakutana tena weekend ijayo kwenye Mansion la mdingi au hotel za kishua... mtoto anatoka huku unamsindikiza...., anatekenya Cadillac kuelekea kwenye Apartment yake kali aliopangiwa Mbezi au Mikocheni huku dogo akiwa anamsindikiza nyuma na Nissan yake V8 patrol... 😊

Tuache kupenda wanawake wanaostahili kuwa wakwe zetu... huyo alipaswa kuwa mkwe kwa mzee sio mke. Hatumsemi vibaya mzee wetu mengi ila hapo dahh! Aliharisha kwakweli
 
Tatizo kumeshajengeka uadui mkubwa mno Kati Yao. Hata hivyo Busara itatumia. Watoto atakaa nao hakuna wa kuwachukua labda awashindwe. Watoto watakuwa huru kuamua kujiunga na ndugu au kujitenga na ndugu wakifikisha 18 years.
imagine, umeishi na babako tangu utotoni, mmekuwa watu wazima, afu kibinti kidogo kinakuja kinajifanya chenyewe ndo kinamjua sana dini na chenyewe ni kidudu mtu cha muhimu sana kwa babako kuliko hata ninyi. ameishi naye miaka 8 tu, wewe una miaka kama ile ya kina reina, kwenye 50s huko. si ujinga huu? ivi vibinti vyenye mimidomo ivi vijinga sana.
 
ninao watoto wangu wa kike kadhaa, actually mara nyingi huwa nawaambia kwamba nawaombea kwa Mungu, na wao wajitahidi katika maisha yao wasijekuja kuwa kama Jackline Ntabaya..., wema sepetu, hamisa na kajala. huwa nawaambia kabisa hawa ni watu wenye mifano mibaya kabisa ya maisha wasijejichanganya wakawa kama wao.

Siwezi mention ambalulu na yule mvuta bangi gigi money kwasababu hao wameshapita hata kwenye mfano mbaya wa maisha.
 
HIVI. SIGNATORIES WA MAKAMPUNI YOOOOOTE YA MAREHEMU , PLUS ENDORSEMENTS , AFFILIATE ISSUES ZA MIKATABA KATIKA SEKTA ZOTE. PLUS ALL BUSINESSES , ZILIZOKUWA CHINI YAKE MAREHEMU !??? JE. WALIKUWA AKINA NANI ??? BEFORE ....... MAAAANA. HILI NAONA NI KAMA. UKWAPUAJI WA MALI ILI KUJIMILIKISHA ON HER OWN BENEFITS .....








WHEN I SAY SIGNATORIES. I THINK AM UNDERSTOOD , PIA. MAREHEMU ALIKUWA NA BUSINESS NYINGI SANA.....







.THE AIM NI KUWA. HAO SIGNATORIES NDIYO WAMILIKI HALALI WA HIZO MALI ZA MAREHEMU AFTER HIS DEATH ......







ILA DAH. TUWAOMBEEEEEENI SAMA WALE WATOTO WAKUBWA WA MAREHEMU WAWEZE ILINDA LEGACY YA BABA YAO. MPKA KESHO....
 
Kwani hao vibabu ni ruksa kuziona sehemu za siri za wajukuu? Mbona hivyo[emoji3] vijana wenyewe mnawakimbia wadada wakihifadhiwa na wazee napo mnasema sasa mwataka wanawake wafanye nini?
 
binafsi huwa sihesabii waintrovitro kama binadamu, nashukuru Mungu nilipata watoto kawaida, ila hata ningepata wa aiana hiyo wala nisingewapenda, ingelikuwa bora niwe peke yangu for life.
Daa usiseme hivyo jamani
 
Aiseee!

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Sizani wala sifikirii kama ni kweli na kama ni kweli haita wezekana kwasababu Mzee mengi ana watoto wa ndoa kabla ya jack kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…