Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Hilo hata mimi nina uhakika,hana cha kupoteza.Kwanza Baba yao Mzazi alizikwa Bukoba,lakini kwa mujibu wa Victoire hawa wamezikwa hapo Shambani kwao Kibaha.Maana yake tayari hapo mpasuko upo.Ndugu hawakutaka kabisa kuwapeleka alipo Mumewe na Baba yao .Huyu mtoto hiyo nguvu ya kurudi anaipata wapi tena?
Jamani kuna familia ni kauzu, mtu ukiwa na mali nako ukitangulia huku nyuma unaacha shida, ukiwa kapuku madeni yote wanabaki nayo watoto na mke, hii hatari sana , ila mwanamke kama upo kwenye familia wanaoujua utu na Upendo unamshukuru MUNGU sana.
 
Mengi mwenyewe alikuwa na kesi na mke wake kuhusu mgao wa malii ambayo ilikuwa haijaishaa badoo yani Hapo pagumu sanaaa... Jack akubali vichache alivyoambuliaaa labda watoto wake watakuja kupata sehemu kubwa ya mgao ila kwa sasa hao wachaga wanaweza kumuwaishaaa aheraaa labda kama aende kuishi Mwezini ila hapa hapa tz aisee atatumiwa hata ndugu wa karibu kabisaaa...
Aise kwa hiyo wanamlia rada ha ha ha.
 
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.

Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.

May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.

Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.

Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.

Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA

wazungu wanaita "gold digger", yaani mtu anayeolewa ili tu akapate utajiri lakini sio upendo wa kweli. kwa mtoto mzuri kama huyu kwamba akaonye sehemu za siri za mzee, k n.k, hakuna upendo wowote zaidi ya kutafuta utajiri. imagine mzee kama huyo alikuwa anashikwa shikwa na mjukuu huyo.
 
Huyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kiasi kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashauri wanaume wenzangu ikitokea bahati mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
humu ndani kuna watu wajinga, kwani kuna mtu amesema jack asipate kitu? shida inakuja wosia kusema apate zote wenzake wasipate. mbona mnafikiria kwa kutumia kamasi nyie? mabush lawyers.
 
sambulugu kwa kichaga ni mavi ya mchawi. Wewe tunakufahamu Una chuki kubwa dhidi ya umma wa wachaga hata hivyo utaishia kutukana mitandaoni ila ukweli unaujua kua wewe ni mchunga n’gombe moja ya jamii mbovu na maskini kifikra na kifedha nchi hii. Kwanza tangu lini msukuma akawa na akili
haijawahi tokea bro.
 
Vidingi vya makamo wenye vijisenti au mawe ya kutosha tujifunze/mujifunze!

Unaendaje kuoa mwanamke ambaye mwanao Abdiel ndo alistahili awe anachapa everyweekend hapo?! Tena kuanzia Ijumaa mpaka jumapili alasiri... jioni anampa cheque yake au anamchezeshea muamala wa benki fasta! akalale na pesa kidogo ya matumizi kama 500 USD hivi.... then wanakutana tena weekend ijayo kwenye Mansion la mdingi au hotel za kishua... mtoto anatoka huku unamsindikiza...., anatekenya Cadillac kuelekea kwenye Apartment yake kali aliopangiwa Mbezi au Mikocheni huku dogo akiwa anamsindikiza nyuma na Nissan yake V8 patrol... 😊

Tuache kupenda wanawake wanaostahili kuwa wakwe zetu... huyo alipaswa kuwa mkwe kwa mzee sio mke. Hatumsemi vibaya mzee wetu mengi ila hapo dahh! Aliharisha kwakweli
 
Tatizo kumeshajengeka uadui mkubwa mno Kati Yao. Hata hivyo Busara itatumia. Watoto atakaa nao hakuna wa kuwachukua labda awashindwe. Watoto watakuwa huru kuamua kujiunga na ndugu au kujitenga na ndugu wakifikisha 18 years.
imagine, umeishi na babako tangu utotoni, mmekuwa watu wazima, afu kibinti kidogo kinakuja kinajifanya chenyewe ndo kinamjua sana dini na chenyewe ni kidudu mtu cha muhimu sana kwa babako kuliko hata ninyi. ameishi naye miaka 8 tu, wewe una miaka kama ile ya kina reina, kwenye 50s huko. si ujinga huu? ivi vibinti vyenye mimidomo ivi vijinga sana.
 
ninao watoto wangu wa kike kadhaa, actually mara nyingi huwa nawaambia kwamba nawaombea kwa Mungu, na wao wajitahidi katika maisha yao wasijekuja kuwa kama Jackline Ntabaya..., wema sepetu, hamisa na kajala. huwa nawaambia kabisa hawa ni watu wenye mifano mibaya kabisa ya maisha wasijejichanganya wakawa kama wao.

Siwezi mention ambalulu na yule mvuta bangi gigi money kwasababu hao wameshapita hata kwenye mfano mbaya wa maisha.
 
HIVI. SIGNATORIES WA MAKAMPUNI YOOOOOTE YA MAREHEMU , PLUS ENDORSEMENTS , AFFILIATE ISSUES ZA MIKATABA KATIKA SEKTA ZOTE. PLUS ALL BUSINESSES , ZILIZOKUWA CHINI YAKE MAREHEMU !??? JE. WALIKUWA AKINA NANI ??? BEFORE ....... MAAAANA. HILI NAONA NI KAMA. UKWAPUAJI WA MALI ILI KUJIMILIKISHA ON HER OWN BENEFITS .....








WHEN I SAY SIGNATORIES. I THINK AM UNDERSTOOD , PIA. MAREHEMU ALIKUWA NA BUSINESS NYINGI SANA.....







.THE AIM NI KUWA. HAO SIGNATORIES NDIYO WAMILIKI HALALI WA HIZO MALI ZA MAREHEMU AFTER HIS DEATH ......







ILA DAH. TUWAOMBEEEEEENI SAMA WALE WATOTO WAKUBWA WA MAREHEMU WAWEZE ILINDA LEGACY YA BABA YAO. MPKA KESHO....
 
wazungu wanaita "gold digger", yaani mtu anayeolewa ili tu akapate utajiri lakini sio upendo wa kweli. kwa mtoto mzuri kama huyu kwamba akaonye sehemu za siri za mzee, k n.k, hakuna upendo wowote zaidi ya kutafuta utajiri. imagine mzee kama huyo alikuwa anashikwa shikwa na mjukuu huyo.
Kwani hao vibabu ni ruksa kuziona sehemu za siri za wajukuu? Mbona hivyo[emoji3] vijana wenyewe mnawakimbia wadada wakihifadhiwa na wazee napo mnasema sasa mwataka wanawake wafanye nini?
 
binafsi huwa sihesabii waintrovitro kama binadamu, nashukuru Mungu nilipata watoto kawaida, ila hata ningepata wa aiana hiyo wala nisingewapenda, ingelikuwa bora niwe peke yangu for life.
Daa usiseme hivyo jamani
 
Huyu dada tamaa ya pesa itamfanya apoteze uhai. Amuulize yule mama aliyefariki juzi na wanae kwenye ajali ya gari.Infwakti Yule mama Immaculata Byemerwa kabla ya kuolewa na Engneer alikuwa na yuho mwanae Albert ambae ndo alikuwa dereva. Kaolewa kazaa Janet na Jolister.Na kumbuka kwamba alimkuta Josepahat ana watoto wakubwa .Sasa yule mama kapata ajali na kafariki na uzao wake wote. Kaacha watoto wa mzee wafaidi vizuri mali za baba na mama yao mzazi.
Jack acha tamaa.
Aiseee!

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hujaelewa mzee baba., ndugu sio kwamba hawataki kumpa share yake ila anachokipigania jack anataka yeye na wale mapacha wake wawili wachukue kila kitu yaani utajiri wote wa mengi wale watoto wakubwa wasipate chochote.. jiweke wewe kwenye nafasi ya watoto wakubwa wa mengi ungekubali?
Sizani wala sifikirii kama ni kweli na kama ni kweli haita wezekana kwasababu Mzee mengi ana watoto wa ndoa kabla ya jack kuolewa.
 
Back
Top Bottom