Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Kuingilia ndoa za watu,hukumu ni.hapa hapa duniani.
Mkuu wanamke kaumbwa kuolewa na anaweza kuolewa ata na mume mwenye wake zaidi ya mmoja, ingekuwa ajabu jack angekuwa kaolewa na mwanaume zaidi ya mmoja na kuolewa kwa mwanamke ni jambo jema haijalishi kaolewa na mume wa mtu kwa Afrika mwanamke kuolewa ndoa zaid ya mke mmoja ndiyo jadi zetu.
 
Acha uongo wewe.hawazalishi?
Mzee mengi Mali zake zipo tu hata akilala mipesa inaingia.
Tuache unafiki.unajua utajiri wa mzee mengi?acha mzaha wewe
Ok Ms/ Mr certified accountant wa Dr Mengi
 


Wamempa lakini bado ni nyumba ya bank na ina jina la IPP kwa hivyo ataishi Lakini kuuza hawezi

Na nyumba ipo kwenye Mkondo wa bahari ilashapigwa X kwa ajili ya kubomolewa hatujui ya mbeleni aendelee kuomba Mungu na Kujenga uhusiano mzuri na that Family
 
Kwa ujuaji wake na alivyowatibua hivi lile Jumba la Machame atathubutu kweli kwenda kukaa kule hata kwa week moja? Maana anakuwa amewafuta huko huko adui zake.


Bahati yake hile Familia sio wahuni hawawezi kumdhulu angeingia Familia za watoto wa Mjini kama angebahatika kuolewa na X wake Kinje wale Wakina Kinje wangemtia adabu anawasumbua hawa wachaga wazungu
 


Signatories walikua ni Mama Mercy ,Dr Mengi ,Regina na Abdiel wamebaki hao wawili Miku na Dada yake
 
Atakayepinga wosia Apewe Buku buku hapa ndo alipo jichanganya

Then huyo Jack why amekaa na Mengi ameshindwa vipi Kupata mkwanja kipindi ambacho mme akiwa Hai ?
 
Kuna trend ya mahakama kubatilisha wosia za marehemu, Je watu wataandika wosia tena kama ni rahisi kubatilisha kila wakatí?
 
Kuiondoa rufaa ina maanisha anaweza kuomba upya. Mahakama haijaitupilia mbali.

Tupate mahojiano ya wakili wake
 
Kuna trend ya mahakama kubatilisha wosia za marehemu, Je watu wataandika wosia tena kama ni rahisi kubatilisha kila wakatí?
Kuna vigezo vya kuandika wasia.

Unapaswa kuwa timamu na unayejitambua.... hicho cha msingi sana....
 
Ndio nipo nae nakula maisha nae
 
Mapambano bado yanaendelea hadi kieleweke.
Mjane wa Marehemu Mengi anayo haki na ataipata tu.
Ikibidi hata Mahakama ya Afrika Mashariki atafika.

Haya ni mapambano sio tu ya kudai haki ya Jacqulline bali ni mapambano dhidi ya mila na desturi kandamizi kwa wajane wote Tanzaania, tusimlaumu Jacquline bila kufikiria,
bado nchini tunayo makabila yenye desturi na mila kandamizi kwa wajane/wanawake hivyo lazima wanawake wote na wapenda haki tusimame pamoja na mpambanaji Jacquline kupinga ukandamizaji na unyanyasaji huo kupitia Mahakama.

Mapambano yanaendelea..................
 


Haki ya kuchukua Mali zote , apewe anachostaili . Hii ni Rufaa ya 10 anakata Mnadangaya na will yake fake anapoteza muda na hela Hana za kupambana na case mnafanya anauza kila kitu alichobaki nacho kulipa wanasheria na hatokuja kushinda

Will gani anakaa nayo mnufaika na mwanasheria kutoka maswekeni huko
 
Hapa hii kesi kila upande unashinda na kushindwa kutokana na makosa ya kiufundi,technicalities tu,unaweza ukakuta umekosea kuweka mkato au nukta tu, Huyu dada kweli kwa kipindi alichoishi na Mzee Mengi,Hana,Wala hakuweza hata kuwa na milioni 200 kwenye akaunti yake?

Kwanini asikubali kupokea hicho kidogo Cha urithi,asonge mbele
 
1. Tamaa yenye mizizi ya ubinafsi ndani yake.

2. Hana uwezo wa kutafuta pesa maana angekuwa nao kidogo alichopata angeshafanya makubwa sana. Anaonekana anapenda sana matumizi makubwa ya mamilioni na tambo za mjini na huku hana uwezo wa kutafuta.

3. Hapendi kushare na hayupo tayari kwa hilo.

4. Anajua akitoka hapo hana tena pa kuanzia maana hao jamaa watamfilisi kila kitu endapo atashuka uwezo wa kifedha atashindwa kupambana nao kisheria.
 
Hausiki nazo wakati mzee alishajitia kitanzi Cha ndoa na watoto kazaa nae?hilo balaa lao wanalo.wakimkataa jack Kama mke wa baba yao watamkubali Kama mama wa wadogo zao.kiufupi jack hakwepeki
Watoto watalelewa na ndugu zao yaani kaka dada, mashangazi, baba wakubwa na wadogo. Hapo wanachotaka ni aachie mali za urithi aliojiandikia yeye kwa mkono wake.

Wadangaji huwa wanajiona very smart but wanasahau kuwa nyuma ya utafutaji huwa haki inafuata. Sasa kama utafutaji wako ulikuwa si wa haki then jiandae kufuatwa na hatima kama hii inayomkuta huyu mlimbwende.
 
Hebu fikiria Mzee wako ana mali kama Bakhresa, anaoa bi mdogo, halafu kwenye urithi anaandika mali zote ziende kwa bi mdogo na uzao wake, halafu wewe ambae umekuwa na Mzee wako ukifanya kazi kwenye makampuni yake, hupati hata ka IST!!
 

Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe, wamekwama kutetea wosia ulioachwa na marehemu baada ya Mahakama ya Rufani kutupa shauri lake la kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu.
Jacquiline alifungua shauri mahakamani hapo la mapitio kufuatia hukumu ya Mahakama Kuu, iliyokataa wosia uliodaiwa kuachwa na Mengi.

Shauri hilo la mirathi namba 39 ya mwaka 2019, lilifunguliwa na watu wanne, wakiwemo ndugu wa marehemu Mengi.

Mahakama hiyo katika uamuzi wake uliotolewa juzi na jopo la majaji watatu, Rehema Mkuye (kiongozi), Dk Paul Kihwelu na Panterine Kente lilitupa shauri hilo kutokana na kasoro mbili zilizoonekana kwenye kiapo cha Jacquiline na cha wakili wake, Audax Kahendaguza vilivyoambatanishwa katika maombi hayo.

Kasoro hizo ambazo mahakama imekubaliana nazo ni viapo kuwa na maelezo yasiyopaswa kuwemo kwa hoja zinazohitaji ushahidi, maoni, mapendekezo na hitimisho na nyingine ni kutokubainisha chanzo cha taarifa ziliozokuwemo kwenye viapo hivyo.

Credit: Mwananchi
 
Mahakama imesema medai ya jack inawanyima urithi watoto wa mengi bila Sababu yoyote msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…