Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ndivyo hali ilivyo mkuu hili sakata ni kwamba kuna wosia ambao Jack anasema ni wa mzee Mengi, huo wosia unamtambua Jack ndie mmiliki wa mali zote za Mengi sasa ndugu ndo wanaupinga kwa sababu hauna uhalali wa kisheria na badala yake mali zigawanywe kwa utaratibu wa kawaida yaan watoto na mjane wa marehemu kila mmoja apate share yake stahiki ila Jack anakomaa wosia utambulike kisheria ili yeye awe mmiliki wa mali zote za Mengi yaani watoto wakubwa wa marehemu wasipate chochote.Sizani wala sifikirii kama ni kweli na kama ni kweli haita wezekana kwasababu Mzee mengi ana watoto wa ndoa kabla ya jack kuolewa.
Alikuwa gizani, mzee alikuwa mjanja. Hata ule wosia atakuwa alimsainia huku anajua kabisa kinachokwenda kutokea mbele. Kama kweli Mzee angetaka kumpa serious mali, yule mwanasheria wa siku zote Michael Ngaro angehusika.Ndivyo hali ilivyo mkuu hili sakata ni kwamba kuna wosia ambao jack anasema ni wa mzee mengi huo wosia unamtambua jack ndie mmiliki wa mali zote za mengi sasa ndugu ndo wanaupinga kwa sababu hauna uhalali wa kisheria na badala yake mali zigawanywe kwa utaratibu wa kawaida yaan watoto na mjane wa marehemu kila mmoja apate share yake shahiki ila jack anakomaa wosia utambulike kisheria hili yeye awe mmiliki wa mali zote za mengi yaani watoto wakubwa wa marehemu wasipate chochote
Sasa hebu ona, yaani Mzee Mengi miaka yote ana mwanasheria mmoja tu Michael Ngaro ndiyo anafahamika. Leo hii aandike wosia kwa kutumia mwanasheria mwenye ofisi Kigogo kweli.Kyln hajawai kushinda , alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba . Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena
Aiseee.. inabidi sasa wadangaji wajitahidi kusomea hata certificate ya sheria yasije kuwakuta ya dada JackAlikuwa gizani,Mzee alikuwa mjanja.Hata ule wosia atakuwa alimsainia huku anajua kabisa kinachokwenda kutokea mbele.Kama kweli Mzee angetaka kumpa serious mali,yule mwanasheria wa siku zote Michael Ngaro angehusika, Lakini wosia unasiainiwa na Advocates wa Magomeni huko ulikuwa ujanja wa kitoto kabisa. Wakati mwingine kuwa na elimu kunasaidia.
Yes hakwepeki. Ila hastahili kuchukua mali ambazo hata mume wake hakuwa anamiliki 100%.
Huo ni wizi wa mchana kweupe
Hahahahahahaaa....dahhhWiki ndefu, siku 3 tuu tushakusahau. Hata wasifu unakua mfupi. Marehemu alizaliwa, akasoma hadi darasa la 6. Kaanza kuzurula huku na kule kambua magonjwa kisha kafariki na leo tunamzika.
Huyu dada ana tamaa sana!Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.
Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.
May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.
Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.
Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.
Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA
inasemekana ni MnyarwandaJackline anatafuta kifo tu kugombea Mali ambazo hausiki nazo na amezikuta.
Muhaya hawezi kuwazidi akili wachaga, anajidanganya tu.
NDIOWewe ukifa utakubali watoto wako wakalelewe na ndugu wakati umeacha mke na Mali za kutosha?
SAWA NITAENDAWewe mtoto SI ukatafute zako.
Mkuu malala na wewe jifunze yanayomtokea Mengi na familia yake. Kuwa makini. Lakini wewe smart na muhimu watu Zaid ya 300 wanaenda chooni na kubadilisha rangi ya mavi kwa ajili yakoHuyu dada ana tamaa sana !
Yani huyu Jackie wamemdanganya tangu mzee Mengi alivyokuwa hai na wanazidi kumdanganya na kumtia moyo hadi sasa hivi mzee hayupo.Kyln hajawai kushinda , alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba . Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena
Huu ndiyo ushauri wa maana tuwape. Jack anakwenda kushindana na kina Regina CPA zimelala pale wamepractize na kufanya kazi kwa Kampuni muda wote yeye akiwa anadanga na kina Kinje huko.Aiseee.. inabidi sasa wadangaji wajitahidi kusomea hata certificate ya sheria yasije kuwakuta ya dada jack
Yaani mali uliyochuma na mkeo kwa shida mmejenga kwa shida waje kugawana na watoto wa mahawara maana hapo mkeo nae atasota.
Unajua shida itakuwa inakuja pale anapoonekana yeye alienda kwa ajili ya kuchuma, labda wangekaa naye vizuri wala isingekuwa hivyo, unadhani angekuwa kapuku ungewaona hao watoto wake?
Yani huyu Jackie wamemdanganya tangu mzee Mengi alivyokuwa hai na wanazidi kumdanganya na kumtia moyo hadi sasa hivi mzee hayupo.
Na usikute waliomdanganya na wanaendelea kumdanganya ni kina Bushoke, Jaymo na Mr Blue.
Na lazima Jackie alimlisha sumu mzee hasa sumu ya cyanide ili arithi mali.
Nakwambia inatia hasira. Wanaume wanakwambia usinifatilie ila nje anazaa kama kumbikumbi. Na walivyo na roho ndogo wanakufa wanaacha vifaranga huko nje wanakuja kugombea na mke ambae amesota kujenga na mumewe.hata mm nmejiuliza hapa emagine mmejenga nyumba wote mme katangulia kwa hiyo hao watoto wa mahawara watakuja wauzr nyumba niliyojenga na mume then tukaanze upya maisha ya kupanga?🥲 hatari hii
kama ndivo bora sasa kila mtu anunue mali zake aandikishe kwa jina lake kwa manufaa ya familia mambo ya kuja kurudishana sifuri sio poa, je meanamke akichepuka akaja na mtoto ndani hao watoto watapata haki ya mali mama yao alizochuma na baba wa kambo???
this life no balance[emoji2292]
Mjane wa mrema vp
Acha mwanasheria wake aendelee kumlia pesa. Ikute atamwambia akate rufaa tena. Labda wataenda kuvutana hivyo hivyo mpaka wamoja wao wafe.Kwanza Jack mjinga angekubali tu kugawiwa urithi kisheria bila hilo will.Kyln hajawai kushinda, alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba. Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena.
🤣🤣🤣🤣inasemekana ni Mnyarwanda