Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Sizani wala sifikirii kama ni kweli na kama ni kweli haita wezekana kwasababu Mzee mengi ana watoto wa ndoa kabla ya jack kuolewa.
Ndivyo hali ilivyo mkuu hili sakata ni kwamba kuna wosia ambao Jack anasema ni wa mzee Mengi, huo wosia unamtambua Jack ndie mmiliki wa mali zote za Mengi sasa ndugu ndo wanaupinga kwa sababu hauna uhalali wa kisheria na badala yake mali zigawanywe kwa utaratibu wa kawaida yaan watoto na mjane wa marehemu kila mmoja apate share yake stahiki ila Jack anakomaa wosia utambulike kisheria ili yeye awe mmiliki wa mali zote za Mengi yaani watoto wakubwa wa marehemu wasipate chochote.
 
Ndivyo hali ilivyo mkuu hili sakata ni kwamba kuna wosia ambao jack anasema ni wa mzee mengi huo wosia unamtambua jack ndie mmiliki wa mali zote za mengi sasa ndugu ndo wanaupinga kwa sababu hauna uhalali wa kisheria na badala yake mali zigawanywe kwa utaratibu wa kawaida yaan watoto na mjane wa marehemu kila mmoja apate share yake shahiki ila jack anakomaa wosia utambulike kisheria hili yeye awe mmiliki wa mali zote za mengi yaani watoto wakubwa wa marehemu wasipate chochote
Alikuwa gizani, mzee alikuwa mjanja. Hata ule wosia atakuwa alimsainia huku anajua kabisa kinachokwenda kutokea mbele. Kama kweli Mzee angetaka kumpa serious mali, yule mwanasheria wa siku zote Michael Ngaro angehusika.

Lakini wosia unasiainiwa na Advocates wa Magomeni huko ulikuwa ujanja wa kitoto kabisa. Wakati mwingine kuwa na elimu kunasaidia.
 
Kyln hajawai kushinda , alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba . Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena
Sasa hebu ona, yaani Mzee Mengi miaka yote ana mwanasheria mmoja tu Michael Ngaro ndiyo anafahamika. Leo hii aandike wosia kwa kutumia mwanasheria mwenye ofisi Kigogo kweli.
 
Alikuwa gizani,Mzee alikuwa mjanja.Hata ule wosia atakuwa alimsainia huku anajua kabisa kinachokwenda kutokea mbele.Kama kweli Mzee angetaka kumpa serious mali,yule mwanasheria wa siku zote Michael Ngaro angehusika, Lakini wosia unasiainiwa na Advocates wa Magomeni huko ulikuwa ujanja wa kitoto kabisa. Wakati mwingine kuwa na elimu kunasaidia.
Aiseee.. inabidi sasa wadangaji wajitahidi kusomea hata certificate ya sheria yasije kuwakuta ya dada Jack
 
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.

Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.

May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.

Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.

Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.

Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA

Huyu dada ana tamaa sana!
 
Kyln hajawai kushinda , alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba . Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena
Yani huyu Jackie wamemdanganya tangu mzee Mengi alivyokuwa hai na wanazidi kumdanganya na kumtia moyo hadi sasa hivi mzee hayupo.

Na usikute waliomdanganya na wanaendelea kumdanganya ni kina Bushoke, Jaymo na Mr Blue.

Na lazima Jackie alimlisha sumu mzee hasa sumu ya cyanide ili arithi mali.
 
Aiseee.. inabidi sasa wadangaji wajitahidi kusomea hata certificate ya sheria yasije kuwakuta ya dada jack
Huu ndiyo ushauri wa maana tuwape. Jack anakwenda kushindana na kina Regina CPA zimelala pale wamepractize na kufanya kazi kwa Kampuni muda wote yeye akiwa anadanga na kina Kinje huko.

Leo aje awaletee ujuaji wake na Bush Lawyers wake. Elimu elimu elimu. Wazazi somesheni watoto wenu hasa wa kike.
 
Yaani mali uliyochuma na mkeo kwa shida mmejenga kwa shida waje kugawana na watoto wa mahawara maana hapo mkeo nae atasota.

hata mm nmejiuliza hapa emagine mmejenga nyumba wote mme katangulia kwa hiyo hao watoto wa mahawara watakuja wauzr nyumba niliyojenga na mume then tukaanze upya maisha ya kupanga?🥲 hatari hii
kama ndivo bora sasa kila mtu anunue mali zake aandikishe kwa jina lake kwa manufaa ya familia mambo ya kuja kurudishana sifuri sio poa.

Je, meanamke akichepuka akaja na mtoto ndani hao watoto watapata haki ya mali mama yao alizochuma na baba wa kambo?

This life no balance[emoji2292]
 
Unajua shida itakuwa inakuja pale anapoonekana yeye alienda kwa ajili ya kuchuma, labda wangekaa naye vizuri wala isingekuwa hivyo, unadhani angekuwa kapuku ungewaona hao watoto wake?

na unadhani mzee angakua kapuku ungemuona uyo Jack kwake[emoji1437]
 
Yani huyu Jackie wamemdanganya tangu mzee Mengi alivyokuwa hai na wanazidi kumdanganya na kumtia moyo hadi sasa hivi mzee hayupo.

Na usikute waliomdanganya na wanaendelea kumdanganya ni kina Bushoke, Jaymo na Mr Blue.

Na lazima Jackie alimlisha sumu mzee hasa sumu ya cyanide ili arithi mali.


Anadanganywa na Dada yake Shimi Ntuyabaliwe na waganga wa kienyeji

Abdiel na Regina Mengi salini sana ombeni dua msilale hawa mademu ni wachawi kweli kweli wamepania kukwapua hizo Mali kwa njia yoyote, hela zimeisha wanategemea uchawi
 
hata mm nmejiuliza hapa emagine mmejenga nyumba wote mme katangulia kwa hiyo hao watoto wa mahawara watakuja wauzr nyumba niliyojenga na mume then tukaanze upya maisha ya kupanga?🥲 hatari hii
kama ndivo bora sasa kila mtu anunue mali zake aandikishe kwa jina lake kwa manufaa ya familia mambo ya kuja kurudishana sifuri sio poa, je meanamke akichepuka akaja na mtoto ndani hao watoto watapata haki ya mali mama yao alizochuma na baba wa kambo???
this life no balance[emoji2292]
Nakwambia inatia hasira. Wanaume wanakwambia usinifatilie ila nje anazaa kama kumbikumbi. Na walivyo na roho ndogo wanakufa wanaacha vifaranga huko nje wanakuja kugombea na mke ambae amesota kujenga na mumewe.

Na huwa wanaona ni sawa tu. Na saizi mahawara wamekazana kuzaa haswa. Unakuta mke ana watoto wawili yeye anapiga watatu anajua kizee kikifa ye na ngedere wake watapata haki. Hivi mwanaume kuzaa mtoto wa kwanza hadi wa tatu nje huwa ni ulimbukeni au
 
Kyln hajawai kushinda, alishinda pingamizi tu alilowekewa na hile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba. Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena.
Acha mwanasheria wake aendelee kumlia pesa. Ikute atamwambia akate rufaa tena. Labda wataenda kuvutana hivyo hivyo mpaka wamoja wao wafe.Kwanza Jack mjinga angekubali tu kugawiwa urithi kisheria bila hilo will.

Kwanza wanae ndo future wamiliki wa IPP ukizingatia Regina na mdogo wake hawana watoto.
 
Back
Top Bottom