Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Alitaka shika yote.. Ukute kuna mtu anacontrol mchezo
 
Akina regina watawaachia ndugu zao. Kwani wao si watakua na shares kubwa kuwazidi? Kuna zao 25% jumlisha za mama yao hapo halaf bado za baba yao. That means wakina regina wanakua majority shareholders. Wataamua wawaachie kina nani shares zao. Kwa huu uhasama unadhani hawa watoto watakua salama despite the fact kwamba ni wadogo zao?

Hii vita jacky aliyoitengeneza atajutiaga mpaka kaburini. Kiuhalisia, ukishanipeleka mahakamani we shall never ever sit under one roof... ngumu mno. Huu uhasama ukijumlisha na mazingira mengi aliyofariki heeee heeee yewomiiii...
 
Hiyo gold diggers umenikumbusha kitabu Cha kinigeria, hadithi tam sana
 
Kyln hajawai kushinda, alishinda pingamizi tu alilowekewa na ile familia kuhusu Marejeo yake yasisikilizwe baada ya Rufaa zote nane kugonga mwamba. Mahakama ikaamua asikilizwe ndio hii marejeo aliyoomba hukumu imetoka kadondoka tena.
Angekaa na familia waongee kikubwa
 
Ushauri kwa wanaolewa na wazee!! Jitahidi wakati wa uhai wa Mzee kufungua miradi mingi kwa kutumia pesa za Mzee. Hiyo miradi ikiwa kwa jina lako hakuna wa kukusumbua pindi Mzee anapoachia ngazi. Jenga hata nyumba kwa jina lako, usiitegemee mirathi.
 
Sahih hat mm goroko nililiona hili
 
Ndugu zangu kina Mama dawa yao ni hii,kila.unachochuma nae andikeni umiliki kwa majina yenu halisi,yani Anastazia John na Jackson Mwakalinga. Hapo likitokea la kutokea kwanza ile share yako wewe inakuwepo kama kawaida ambayo ndiyo ya watoto wako.

Ile ya kwake 50% iliyobaki ndiyo igawanywe kwa hao vifaranga wake wote na aliozaa huko nnje,mwisho wa siku watoto wako wanakuwa na ile 50% yako na watachanganya na kile walichopata kwa Baba yao,bado watakuwa juu. Hii ndiyo inawaokoa watoto wa Mengi wale wakubwa. Wana share ya mama yao 50% kabla ya yote
 
Duuh yaani kwa matukio haya ni rahisi kuamini kuwa kifo cha bilionea kina utata hata kama hahusiki.
 
Shida unakuta wanasheria hapo ndipo wanalia pesa na mshauri wake Mkuu dada mtu na yeye anawaza kutapeli tu.Mwisho wa siku atagundua it's too late na wakati huo huo kesha waharibia hata watoto wake future zao.

Imagine watoto wanakuwa na kisha wanaujua ukweli wote tena kwa facts za Mahakama?
 
Ni k
Kawaida sana kwa Matajiri na watu waliofanikiwa wwnatumia muda wa ujana wao kujenga future zao. Baadae sana ndio wanakumbuka kuwa hawakufurahia maisha. Ndio hapo sasa wanaanza kujitafutia matatizo kwa kuhang na vijana.

R.I.P Mengi( PhD causas)
 
tunashukuru kwa ushauri huu ni mzuri. Ila lets say ni nyumba sasa, inauzwa labda milioni 100 ili wagawane watoto wako wa ndoa wanne. Na wa kwake wa nje wanne. Wakwako watapata 12 million each. Wakajitafute hapo. Au wajenge kwa pamoja waendelee kuishi.

Na hapo ukute mama yuko hai. Kama na yeye alikufa hajatokea shangazi ana tamaa zake anataka na yeye cha kwake. Mungu atusaidie kwakweli.
 
Huu ndiyo ukweli wenyewe tena ulionyooka.Hawa watoto wanakuja kuteseka kwa ujuaji wa Mama yao.Kina Regina watamwachia yeyote wanaempenda.Ningekuwa mimi Jacky kwanza ningehakikisha hawa watoto wanalelewa na Dadana Kaka yao ili wajenge ile bond.

Unahangaika na dada yako ambae tayari kimaisha alishafuria na yeye anataka kuponea kwa hizo mali zisizomhusu huku ukijua kabisa wewe una watoto tayari na hiyo familia.
 
Ni hivi siku hizi inaruhusiwa kabisa hiyo nyumba ukiandika umiliki kwa majina yenu halisi inaeleweka.kuwa wamiliki ni Anna na James.Achana na mambo ya Mrs and Mrs James sijui unanielewa? Andika jina lako halisi na ubini wako wa asili na yeye hivyo hivyo na umiliki ujulikane ni 50% kwa kila mtu. Kwa swali lako ukiwa umeandika kama nilivyosema nyumba ikiuzwa kwa 100M kwanza wewe utapata 50M (ambayo itakuwa ya watoto wako) kisha 50M ya Baba ndiyo itagawanywa kwa watoto wote.

Hili limemsaidia sana Aunt yangu na nimeshuhudia mwenyewe mpendaamanitanzania
 
Check post no 340
 
Aliuza kila kitu mpaka hiyo company ya furniture apate hela za haraka haraka kwa ajili ya tea party na kuwapa mawakili na kuendelea kuitwa Madam na kundi lake
Tea parties kama kwa malkia vile.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…