Ndugu zangu kina Mama dawa yao ni hii,kila.unachochuma nae andikeni umiliki kwa majina yenu halisi,yani Anastazia John na Jackson Mwakalinga.Hapo likitokea la kutokea kwanza ile share yako wewe inakuwepo kama kawaida ambayo ndiyo ya watoto wako.Ile ya kwake 50% iliyobaki ndiyo igawanywe kwa hao vifaranga wake wote na aliozaa huko nnje,mwisho wa siku watoto wako wanakuwa na ile 50% yako na watachanganya na kile walichopata kwa Baba yao,bado watakuwa juu.Hii ndiyo inawaokoa watoto wa Mengi wale wakubwa.Wana share ya mama yao 50% kabla ya yote