Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huyo anayewafungisha ndoa hapo ni Nani?
Hakufunga ndoa ha kanisani nakisahihisha,it was civil marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi-Reginald-Mengi-naahidi-kumpenda-Jacqueline-Ntuyabaliwe-katika-shida-na-raha-hadi-kifo-kit...jpg
 
Kwa hyo unataka kusema licha ya jack kuolewa na mengi Hana haki ya kurithi?hamuoni Kama no dhuluma kwa mjane?mzee alishajichanganya waangalie kilicho chake wampe waachane kwa amani.na hao watoto ni lazma walelewe na mama yao kupitia fedha za baba yao.hauwezi kusema mpaka wakue ndo wapewe . Nani atawasomesha?
Hawajawahi kumnyima mali bali kumpa mali zote ndo BIG NOOOOO, TENA KWA DANGA
 
Huyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kiasi kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashauri wanaume wenzangu ikitokea bahati mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
 
Shida inaonekana upande wa mengi wanamzingua.unakumbuka waligoma kuwasomesha watoto wa jack?
Hawawezi kugoma kuwasomesha na wale watoto ni damu zao labda kuna mabadiliko mfano kuwaamisha shule ndo wakashindwa kuelewana, jack inabidi akubali sasa hivi mengi hayupo kwaiyo maisha hayawezi kuwa vile vile, matunzo ambayo alikua anayapata yeye na watoto lazima yatashuka haiwezekani yakawa vile vile kama kipindi ambacho mengi yupo
 
Alijitoa mwili wake utumike kwa manufaa ya baadae lazima uwe na master plan km wewe ni mwanamke mwenye akili, Jana niliwaeleza watu kua ukiona mtu anamtafuta mtu wa kuanzisha nae mahusiano ujue yupo kwenye mission maalum ila wapo waliopuuza, Jack kuingia kwenye mahusiano na babu Mengi ilikua ni special mission
Maisha yetu siku zote ni mission,na kila Mtu ana mission zake! hata wwe saa hizi naona utakua una plani mission zako!!
 
Huyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kias kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashaur wanaume wenzangu ikitokea bahat mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
Usipo oa huchui raund.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom