Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Kwa hyo tuwatoee wale mapacha kwenye 25% kisa hawajatafuta wao?
Huo ndio utaratibu kwani jack kuzaa tu nanhajashiriki kutafuta mali pale hata hizo asilimia chache ashukuru mungu alifosi ndoa ya mchongo tofauti na hapo angelambishwa hewa kama kawaida
 
Hizo point zake ndo hizo hizo zimeshindwa kumsaidia jack huko mahakamani

Halafu haelewi yaani kama suala la hisa naona halifahamu kabisa, majority share wa mali ile ni abdiel na rejina kwa sasa ndio waamuzi wa mwisho na technically Baba yao mdogo Benjamin yuko nao bega bega maana kwenye uendeshaji wa shughuli mbalimbali yupo sana na aliamua kuside na watoto wakubwa japo jack kwenye wosia wake wa mchongo alitaka kumchota lakini alimkataa mchana kweupe
 
Kwa maelezo yako.unaona jack anasaidiwa sababu hakutafuta yeye?
Hivi mirathi ni msaada ?au ni haki?
 
Nimekwambia mzee alishafanya makosa.sasa wamekuja watoto wengine utawaambia Nini kuhusu hizo 25%?
 
Kwa hyo tuwatoee wale mapacha kwenye 25% kisa hawajatafuta wao?

Wale watachopata ndio haki yao kulingana na taratibu za mgawanyo wa mirathi na sio vinginevo yaani jack alitaka rejina na AB wasiwe na nguvu na kucontrol mali za wazazi wao sasa kimegeuka na hatujakataa kua mapacha hawana haki wanayo lakini ndio hiyo percent sio haba
 
Usizunguke wewe sema tu tuwatoee
 
Nimekwambia mzee alishafanya makosa.sasa wamekuja watoto wengine utawaambia Nini kuhusu hizo 25%?

25% itoe akilini mwako kisheria ni ya wanahisa wawili abdiel na rejina hao mapacha wanahisikaje sasa mbona hauelewi pamoja na ufafanuzi wote
 
Si ndio sababu hawakutafuta wao.
Na baba yao alijua hatazaa tena.
25% itoe akilini mwako kisheria ni ya wanahisa wawili abdiel na rejina hao mapacha wanahisikaje sasa mbona hauelewi pamoja na ufafanuzi wote
 
Usizunguke wewe sema tu tuwatoee

Halafu wewe hauna logic yaani jina lako na wewe mnafanana yaani hauna uelewa hata wa shares unapewa ufafanuzi hauelewi ndio maana kila mtu anakuacha, watu wemejaribu kukupa hadi inside infos lakini wapi utakua na matatizo
 
Ingekua ni nchi zilizoendelea kwa Yale mazingira ya kifo Cha Mzee mpaka wosia Kuna mazingira ya kesi ya manslaughter au first degree murder dhid ya jack unaona kabisa hii ilikua ni mission
 
sidhani Kama wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema.
Ila kwa kuwa sio wewe unaona sawa
Halafu wewe hauna logic yaani jina lako na wewe mnafanana yaani hauna uelewa hata wa shares unapewa ufafanuzi hauelewi ndio maana kila mtu anakuacha, watu wemejaribu kukupa hadi inside infos lakini wapi utakua na matatizo
 
Hasa kwenye umiliki wa Assets mlizotafuta pamoja.Mimi nimejifunza kwa Aunt yangu,tunaandika majina yetu wote kila mtu na majina yake aliyopewa na Wazazi wake,hakuna cha Mrs flan hapa.
Hiki kitu naona huku kwetu wakamangi woote wamegoma aisee[emoji23]
 
Halafu wewe hauna logic yaani jina lako na wewe mnafanana yaani hauna uelewa hata wa shares unapewa ufafanuzi hauelewi ndio maana kila mtu anakuacha, watu wemejaribu kukupa hadi inside infos lakini wapi utakua na matatizo
Achana nae ni mjinga flani hivi, usipotumia akili kwenye maisha utagongwa sana, utafirwa sana, utazalishwa sana and your life will be miserable tupambane sana watoto wetu wa kike watumie akili na sio miili Yao Kama njia ya kujikwamua
 
Sasa bhasi hizo Asilimi 37.5% ilibidi jack agawane nusu kwa nusu na watoto wa mengi alafu yeye asimamie hisa za wanae.. Sema pia hao watoto wa Mengi ni walafii sanaaa kama walishapata za Mama yao ambazo kimsingi katafuta baba yao why wawe warohoo wakutaka na hizo zilizobaki kwa baba yao wakati baba yao alishawapa Urithi wa zile percent 25??? Ulafi ulafii tuu
 
sidhani Kama wewe ungekubali ndugu zako wapewe chao mapema.
Ila kwa kuwa sio wewe unaona sawa

Mutie unamfahamu? Mercy unamfahamu? Reginad mengi unamfahamu? Abdiel unamfahamu? Rejina unamfahamu? Benjamin unamfahamu? Kwenye hilo kundi waliokufa ni mecry, mutie na mengi wamebaki ben, abdiel na rejina hao ndio picha halisi ya ipp na makampuni tanzu yake na mshauri mkuu alieachwa kulinda watoto wa familia hiyo ni mzee jakaya kikwete nikurahisishie kazi kidogo
 
Na hapa ndipo mzee alipojichanya.
Labda alishawishiwa na mke wake mkubwa.
Haya watoto wengine wamekuja.
Wao hawahusiki vipi na 25%wakati ni watoto wako pia?
Unajua hata chanzo cha utajiri wa Mengi?[emoji23][emoji23] wewe ni Muha wewe. Machame hatoki boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…