Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Kile kifoundation[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Mengi ndo alikua anakibeba ujue
Jacky nae anataka kua mjane wa taifa kaaaah

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya sana huo wosia wa Buku umepigwa chini tena na Mahakama ya juu kabisa hapa Nchini.
 
Hapa sidhan Kama Ni ulafi,
Wanataka kumnyoosha huyu mwanamke aliewaandikia urithi wa buku buku.

Ujue Hii kupewa buku buku dharau kubwa Sana mkuu hata Kama Mali ninazo[emoji4]
 
Huyo Klyn Ana watu nyuma, sio mchezo msimchukulie poa
Sasa hao watu wamemsadiaje endapo keshafikia hatua ya mwisho ya kudai haki yake,au kuna option nyingine baada ya hii ya Mahakama ya Rufaa kushindwa kesi?
 
Walau sasa umeelewa somo,ulikuwa unasema Watoto tena mapacha wa Kiume wana nguvu sawa na wenzao.Umeona sasa nani wenye nguvu? Uroho wa Mama yao tu,angetulia hawa watoto wangefaidi hata hizo shares za Regina na Abdiel,lakini kwakuwa kajitia ujuaji,watoto wanaweza ambulia hizo hizo za Baba yao shauri ya upuuzi wa Mama yao.
 
Seema....
Wadangaji wanaovizizia kuolewa na vizee dakika za mejeruhi Wana la kujifunza hapa[emoji4]

Kama mke mdogo wa mrema, alikua mama ntilie mitaa ya TLP , akawa anapika msosi anauza hadi mzee akawa anauziwa chakula, baadae mzee akaanza kumla muuzaji na baada ya mke kufa yule muuza chakula akaona ajibanze kwa mzee dakika za lala salama watoto wa mrema wakaona usitutanie wewe kima
 
Huo muda anaopoteza bora angefanya mambo mengine ya maana

Hii mambo ya kugombea mali sio mpango

Mbona nguvu na uwezo wa ku fight mafanikio yake binafsi na watoto wake anao?
 
Kwamba wasia alikuwa nao kwenye kipochi manyoya akizurura nao kila mahali mjini akiujadili na mashoga zake samaki samaki? Ha ha ha.
 
Jack anafikiri watu wa leo wajinga sana, mali hajachuma hata kiduchu na Mzee Mengi, leo anataka apewe mali za bure bure, huo ni wizi wa kileo hasa kwa hawa wanawake vijana kufuata wanaume wazee wenye mali ili wakifa apewe mali, safii sana mahakama ya rufaa kwa uamuzi sahihi kabisa.
 
Nachokiona wewe ni ukoo wa Jacky mliokuwa mnakula Bata kwa Mzee kwa mgongo wa Jack.Poleni sana warundi wa Manyovu,kama hamkujipanga kipindi hicho Mzee akiwa hai yale maisha ndiyo basi tena.Muombeeni tena dada yenu apate danga jingine ambayo ni ngumu sana kwa hapa Bongo baada ya kuonyesha ujinga wake wa tamaa iliyopitiliza.Msalimie Aunt yako na usiache kumtia moyo pia katika kipindi hiki anachopitia.
 
Swali unajua rulling ya mahakama we nenda kamsaidie na mpe hizi hoja zako ili akikata rufaa azitake into consideration
Bahati mbaya sana ameshindwa kwa Mahakama ya Rufaa ya jopo la Majudge watatu,hana tena pa kukata rufaa unless hoja za kutupilia mbali shauri lake zitoe nafasi ya yeye kukata rufaa,nnje ya hapo She is done.
 
kwa hyo utatoa hyo sheria. Au utaleta maelezo?
Niwekee sheria inayosema wazazi wakiachana na watoto wapewe Mali
Kwani ni ajabu kwa Directors kugawa shares zao? Mbona ni kitu cha kawaida sana na watu wanafanya siku zote.Au huelewi hata namna shares zinavyoweza kuwa transferred kwa mwingine kutoka kwa Wamiliki wa mwanzo kabisa wa Kampuni
 
Kuna wajing wamemshika masiikio

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…