Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Shida inaonekana upande wa Mengi wanamzingua. Unakumbuka waligoma kuwasomesha watoto wa Jack?
Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
 
Hawajawahi kumnyima mali bali kumpa mali zote ndo BIG NOOOOO, TENA KWA DANGA
 
Huyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kiasi kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashauri wanaume wenzangu ikitokea bahati mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
 
Shida inaonekana upande wa mengi wanamzingua.unakumbuka waligoma kuwasomesha watoto wa jack?
Hawawezi kugoma kuwasomesha na wale watoto ni damu zao labda kuna mabadiliko mfano kuwaamisha shule ndo wakashindwa kuelewana, jack inabidi akubali sasa hivi mengi hayupo kwaiyo maisha hayawezi kuwa vile vile, matunzo ambayo alikua anayapata yeye na watoto lazima yatashuka haiwezekani yakawa vile vile kama kipindi ambacho mengi yupo
 
Nae,anashindwaje kulea watoto wawili kwa kuuza nyanyachungu kwenye sinia?!....ndo tamaa za pesa zinavyoponza....unakosa kula ujana na kijana mwenzio unakimbilia zee coz of money.....utumwa,utumwaaa
 
Maisha yetu siku zote ni mission,na kila Mtu ana mission zake! hata wwe saa hizi naona utakua una plani mission zako!!
 
Usipo oa huchui raund.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…