Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Watamuachia Mtoto wa Marehemu Mutie yule wa kiume zote..maana Sasa hivi atakua mkubwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aisee sikua nimesoma vizuri. Mutie kumbe had a kid? Sikua nafatilia aisee. Am so happy he left his blood. Mungu ni mwema. Wamuachie tu if its their willing. Wasimsahau. Hoping hata babu yake alimkumbuka maana alimpenda sana marehemu Mutie
 
Ile Will inasema kua Jack akishindwa kusimamia Mali apewe dada ake Shimimana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sio watoto wa Mengi Wala nduguze[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]yaani wamejua kuua bendi asseehh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaani nilichekaaaaa.
 
Ni hivi siku hizi inaruhusiwa kabisa hiyo nyumba ukiandika umiliki kwa majina yenu halisi inaeleweka.kuwa wamiliki ni Anna na James.Achana na mambo ya Mrs and Mrs James sijui unanielewa? Andika jina lako halisi na ubini wako wa asili na yeye hivyo hivyo na umiliki ujulikane ni 50% kwa kila mtu.Kwa swali lako ukiwa umeandika kama nilivyosema nyumba ikiuzwa kwa 100M kwanza wewe utapata 50M (ambayo itakuwa ya watoto wako) kisha 50M ya Baba ndiyo itagawanywa kwa watoto wote.Hili limemsaidia sana Aunt yangu na nimeshuhudia mwenyewe mpendaamanitanzania
Hapa mzee akiwa na watoto wa nje ,ndo kazi inaanzia hapo.
 
Ukikikuta tuliza mshono subir bakur lako pokea endeleza maisha.....!! Ila ukijichanganya ndio ndumun lako ovu litajulikana kama now K-lyn tunavyojua kumbe alifuata mali sio mahaba
 
Kumbe Mutie aliacha mtoto? Sasa hapo naelewa why Jacky anapagawa.
Anae tena wa kiume [emoji38][emoji16][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]ana mhaho sio balaaa na Kwa Sasa mkubwa atakua na 18 kuja juu maana enzi anakufa Mutia he was 6yrs ndo maana Hana Raha anajua wale watampa mutie zotee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wakiamua za anko,auntie na grandamaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha kitu cha kwanza nilichocheka ni wosia kuwa nao klyne. Hahaha dah. Toka lini jamani.
Pili, huyo wakili shuma nilimuuliza kama aliandaa alikataa akasema amesaini tu. That means jacky made it. Shwaini kabisa. Mawakili wa kigogo. Ila akina shuma nao wamachame labda aliona akienda kwa hao ataonekana ni ya kweli. Ila alifeli sana kwa hili[emoji23]
Aseeehhh...huzuni sana jamani daahhh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Anae tena wa kiume [emoji38][emoji16][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]ana mhaho sio balaaa na Kwa Sasa mkubwa atakua na 18 kuja juu maana enzi anakufa Mutia he was 6yrs ndo maana Hana Raha anajua wale watampa mutie zotee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wakiamua za anko,auntie na grandamaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbona nimesikia raha hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... ni raha vibaya mnoo[emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndo mfalme sasa... na tunamuombea mtoto wetu atandike mimba turembo twa kishua. Bila shaka kamesoma IST eh?
 
Huo upuuzi hata watoto wakikuwa watamtukana Mama yao,hao ni Wachagga ajue na siyo Warundi [emoji1][emoji1]
Nilicheka sana ujue ukisoma ule wosio utacheka uzimie na hata asiyeenda Shule anajua kabisa ni WA kipuuzi maaana kipengele cha mwisho Sasa wakishinda watoto wapewe elf 1,Mali zote mpk nguo na boksa warithi Jacky na wanawe wawili baaasiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani vinachekesha mnooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee sikua nimesoma vizuri. Mutie kumbe had a kid? Sikua nafatilia aisee. Am so happy he left his blood. Mungu ni mwema. Wamuachie tu if its their willing. Wasimsahau. Hoping hata babu yake alimkumbuka maana alimpenda sana marehemu Mutie
Yas Aliacha kijana nadhani atakua anasoma na future president huyo Mungu amuweke kijana wa watu,wengi hawajui kwa kua mengi na wanawe wale wakubwa sio watu wa spotlight nadhani atakua nje anasoma chuo kikuu!

Akirudi yule ndo wanamuandaa na ndo maaana wanapigania legacy Yao akina Regina Mimi nawaelewa sana ujue maana wakifanya masihara Jacky anaharibu kabisaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom