Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

And what is minimum cost? Minimum cost is a relative term dear! Wewe hiyo techno N2 unasema ni minimum wakati kuna mtu hajala! Unaonaje ukatumia tochi ya mchina halafu ukampa hizo zilizobaki?
Sijasema tecno N2 ni min, nmetolea mfano zikiwekwa hizo sim mbili basi tecno ni min but tukiweka hyo hyo tecno N2 na Vodafone ,Vodafone itakuwa min na tecno itakuwa max

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo nichague, kuagizia Prado used Japan au nimnunulie wife mkoba!
 
Naamini si kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara
Mmoja wapo ni huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…