Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Kwa kuwa wote tutakufa siku ikifika basi binadam. Wote ni sawa hizo zingine ni mbwembwe tu na. Kujilisha upepo yote ni ubatiri kufa kuko palepele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya karume ya plastic man. Hii kitu ni Og.. sema vile mtoto mkare kama huyu anapenda vitu vya juu halaf na vile mbesa ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa pesa ipo lakin. Kwann utumie hera ambayo hata kuna. Watu tutakufa bila kuishika toka utoto kwa kununua mkoba tu huko si kukufuru!!?? Kwann asingenunua milion 1 ingine akapeleka misaada hosptalin au shulen au akawapa wasio na uwezo jmn tukimbuke kila tulifanyalo tutalitolea maelezo siku ya mwisho mbele za Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikasema only if angekuwa na mawazo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mkuu mkoba wa milioni 68 umefungwa na solex ya 2500??!!
 
Kweli nimeamini wanawake wote wa Kitanzania wapo sawa...hii picha aliipost siku nyingi kaona haiongelewi kaileta huku hehehe
 
Siyo kweli huo wa mtandaoni unakakufuli wake hauna ,hizi varsace unaona zimezagaa mjini bei zake original ni kiwanja bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…