Truth be told dearest, few people makes the world go around so it's definitely worth it discussing them considering the fact of their inspiration.Wanaume wanabishania pesa Za mwanaume mwenzao
[emoji252] [emoji479]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] the world is not fair [emoji24] [emoji24]Aisee...waswahili wenzangu kule tunabishana ada mil 65 za IST huyu ada yote kanunulia mkoba. Ambao unawza upata Karume kwa 2500.
Ngoja Mzee M,engi afariki waanze kugombania mali na wakina Abdiel na ReginaYani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana
Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya hermes ya nchini ufaransa ambao unatajwa kuwa ni miongoni ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani
Mkoba huo sasa unamilikiwa na mjasiriamali na mfanyabiashara Jacqueline N Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eboy mikoba hiyo bei ni dola$ 26500 ambayo ni sawa na tsh milion 68
Sifa kubwa ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka na pia hata ukubwa wa brand ya hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya branda kubwa duniani za mavazi View attachment 843758View attachment 843759View attachment 843760
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaka hawezi kuiba huo mkoba, maana yeyote atakayeununua atakamatwa tu. Hiyo ni kuwa na gari la kipekee hakuna mtu akayeliiba wala vifaa vyake.Mtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani
Yanaibiwa magari ya Ikulu sembuse kamkoba, hujaijua nguvu ya vibaka ndugu.Kibaka hawezi kuiba huo mkoba, maana yeyote atakayeununua atakamatwa tu. Hiyo ni kuwa na gari la kipekee hakuna mtu akayeliiba wala vifaa vyake.
Elewa kwanza nilichomaanisha, magari ya Ikulu yanafanana na magari mengine yaliypo nchini, kiasi kwamba hata akiiba kifaa kitakiuzwa kwa wenye magari kama haya sasa kama una model ya gari ambayo nchini haipo, ukitaka spare ni lazima uagize Japan, Kibaka akiiba spare au gari zima atamuuzia nani ? Kumbuka magari yakiiibiwa hubalishwa rangi na kuendelea kutembea, unaweza kukutana nalo usilifahamu, lakini kama hakuna gari lingine la aina hiyo nchini kwenu au ni machache sana, litafichwa wapi ? Hata huo mkoba ni vivyo hivyo, maana ni wa pekee, mkeo akiununua atadakwa tu.Yanaibiwa magari ya Ikulu sembuse kamkoba, hujaijua nguvu ya vibaka ndugu.
Let say aliyeuiba ni mtoto wa mjini akafanya mpango ukapelekwa bondeni kwa madiba, unadhani hiyo hofu yako itaendelea kuwepo?Elewa kwanza nilichomaanisha, magari ya Ikulu yanafanana na magari mengine yaliypo nchini, kiasi kwamba hata akiiba kifaa kitakiuzwa kwa wenye magari kama haya sasa kama una model ya gari ambayo nchini haipo, ukitaka spare ni lazima uagize Japan, Kibaka akiiba spare au gari zima atamuuzia nani ? Kumbuka magari yakiiibiwa hubalishwa rangi na kuendelea kutembea, unaweza kukutana nalo usilifahamu, lakini kama hakuna gari lingine la aina hiyo nchini kwenu au ni machache sana, litafichwa wapi ? Hata huo mkoba ni vivyo hivyo, maana ni wa pekee, mkeo akiununua atadakwa tu.
Ataupisha wapi, ni imani yangu kuwa mwenye nao atakuwa ametoa taarifa kwa Mamlaka husika.Let say aliyeuiba ni mtoto wa mjini akafanya mpango ukapelekwa bondeni kwa madiba, unadhani hiyo hofu yako itaendelea kuwepo?
Nadhani wewe ni mgeni wa hii dunia, umeshuka hapa kama sio Jana basi leo asubuhi, karibu sana kwenye hii dunia ya Mzungu. .. Hapa kila kitu kinawezekana kaka sijui huko utokako hali Ikoje. ... wanapotea twiga sembuse kamkoba! Haahaahaaahaaaa!Ataupisha wapi, ni imani yangu kuwa mwenye nao atakuwa ametoa taarifa kwa Mamlaka husika.
Mtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani
Aliyekuambia vibaka wanapatikana Manzese uzuri tu amekupeleka chaka. .... vibaka wapo mpaka Ikulu, huamini achaaaHao vibaka anakutana nao wapi..?, mke wa billionea akautane na kibaka wa manzese uzuri wapi na wapi
Sawa pesa ipo lakin. Kwann utumie hera ambayo hata kuna. Watu tutakufa bila kuishika toka utoto kwa kununua mkoba tu huko si kukufuru!!?? Kwann asingenunua milion 1 ingine akapeleka misaada hosptalin au shulen au akawapa wasio na uwezo jmn tukimbuke kila tulifanyalo tutalitolea maelezo siku ya mwisho mbele za Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo Mgeni kabisaaaaaaa. Sijui umetolea sayari ya Mars. Kwa akili yako ndogo, K-lyn anakutana na Vibaka wapi. Halafu ni Kibaka gani mwenye uwezo wa kusafirsha mkoba kwenda kuuza kwa Hayati Madiba.Nadhani wewe ni mgeni wa hii dunia, umeshuka hapa kama sio Jana basi leo asubuhi, karibu sana kwenye hii dunia ya Mzungu. .. Hapa kila kitu kinawezekana kaka sijui huko utokako hali Ikoje. ... wanapotea twiga sembuse kamkoba! Haahaahaaahaaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] the world is not fair [emoji24] [emoji24]
kwanza swali tu? ni kibaka gani anayejua thamani halisi ya huo mkoba πππππ maana nina uhakika watu wengi humuona nao huo mkoba na hawajui thamani yake ...thanks kwa ile blog ya fashion iliyokuja kutufumbua macho πππWewe ndo Mgeni kabisaaaaaaa. Sijui umetolea sayari ya Mars. Kwa akili yako ndogo, K-lyn anakutana na Vibaka wapi. Halafu ni Kibaka gani mwenye uwezo wa kusafirsha mkoba kwenda kuuza kwa Hayati Madiba.