Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Sasa unatuambia bei za E-BAY? kitu hicho hicho hapa bongo unaweza kukikuta nakini beii yake e bay ni mara 1000
 
Unaeza kukuta anayo kama 10 hv mikoba kama hiyo daaah I am in love with money!!
 
Nimeipenda hiyo miwani, kama windscreen ya gari, Bei yake ni dolari ngapi?
 
Maskini wakikutana juu ya gorofa wanaulizana ukipewa milioni 60 utajirusha???

Wakati wao matajiri wanaulizana muonekano wa gorofa na hewa iliyopo...

Hivyo hatuwezi kufanana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom