xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Wewe uliezitumia mbona unalia lia kwa hela ya mtu mwingine? Akili yako imekusaidiaje?Ndo maana kuna ambulance....tumia akili mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliezitumia mbona unalia lia kwa hela ya mtu mwingine? Akili yako imekusaidiaje?Ndo maana kuna ambulance....tumia akili mkuu..
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee...waswahili wenzangu kule tunabishana ada mil 65 za IST huyu ada yote kanunulia mkoba. Ambao unawza upata Karume kwa 2500.
Fake ya nini sasa. Wabongo bhnaKwani hakuna feki zake huo mkoba? Ila nadhani ni zile akili tu za kimaskini siku zote wale wenye elimu duni hua ni rahisi sana kufanya vitu kama hivyo i.e Floyd Money Mayweather...
Umesemaa mumewe hana utajiri huo haupo serious kijanadola milion 60 unazijua au unatania?hata mumewe hana utajiri huo asee
nani kasema doller? soma vizuri mkuu..dola milion 60 unazijua au unatania?hata mumewe hana utajiri huo asee
Sijalialia mkuu ...tatizo hujanielewa..tumia akili mkuuWewe uliezitumia mbona unalia lia kwa hela ya mtu mwingine? Akili yako imekusaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimekuuliza swali dogo sana. Mbona wewe hatuoni results za hiyo akili uliyotumia?Sijalialia mkuu ...tatizo hujanielewa..tumia akili mkuu
niliona vibaya mkuu
Tumia akili kupambanua mambo..kwani watu wote humu jukwaani umeona results za akili walizotumia kwenye maisha yao...tumia akili mkuuHahaha nimekuuliza swali dogo sana. Mbona wewe hatuoni results za hiyo akili uliyotumia?
Umemaliza kaform 4 jana unajiona una akili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote form 4 failure wewe. Im outta hereTumia akili kupambanua mambo..kwani watu wote humu jukwaani umeona results za akili walizotumia kwenye maisha yao...tumia akili mkuu
Unaongea na mtu haumjui tumia akili mkuu
Na wakati huo huo ndani ya nchi hii hii kuna mtu hajui leo hii atakula nini!! The Earth is EXTREMELY UNFAIR....Mtu anatembea begani kaning'iniza Million sitini, ama hakika vibaka hawataisha duniani