Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Kwani hakuna feki zake huo mkoba? Ila nadhani ni zile akili tu za kimaskini siku zote wale wenye elimu duni hua ni rahisi sana kufanya vitu kama hivyo i.e Floyd Money Mayweather...
 
Mill 68 kwake ni kama wewe unavyochukua laki 3 kununua smart phone. So tusishangae sana level zetu ni tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa tu,mauzo ya siku moja tu ya kiwanda chake cha bonite ni hatari tupu
 
Hahaha nimekuuliza swali dogo sana. Mbona wewe hatuoni results za hiyo akili uliyotumia?

Umemaliza kaform 4 jana unajiona una akili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili kupambanua mambo..kwani watu wote humu jukwaani umeona results za akili walizotumia kwenye maisha yao...tumia akili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…