Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Angechukua laki tano tu akampa mmasai amtengenezee mkoba kwa ngozi ya mbuzi, pesa inayobaki angefanyia mambo ya msingi au kuwasaidia wasio na uwezo kama hana kazi nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo wewe nani anakupangia matumizi yako ,hata wewe unaweza kuchangia sefuria huko kwenu lakini hujawahi hata kuchangia panadol,pesa yake ,shughuli aifanye yeye wewe mbiombio uje umpangie jinsi ya kutumia.
 
Angenunua hata kitanda kimoja kwenye zahanati ya kijijini kwao angekuwa ameisaidia jamii..
nenda katika hospital ya wilaya ya hai kaulizie kuwa jaquiline kafanya nini, sio kubwatukabwatuka tu hovyo. pia ulizia shule za msingi wilaya ya hai na baadhi ya wilaya za dar uone madawati aliyochangia kupitia mfuko wake wa ntuyabaliwe
 
Sijasema hajafanya kitu...acha kushoboka tumia akili
 
jamani diva the bawse mwenye kujisifu anaishi kwenye nini huko kakosa hela ya kupata mimba
tumsaidie
 
Acha hizo wewe nani anakupangia matumizi yako ,hata wewe unaweza kuchangia sefuria huko kwenu lakini hujawahi hata kuchangia panadol,pesa yake ,shughuli aifanye yeye wewe mbiombio uje umpangie jinsi ya kutumia.
Povu la nini , huo ni mtazamo wangu sijamshikia bunduki asinunue huo mkebe wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwembwe tuu, jeuri ya pesa, lkn mwisho mavumbini
 
DAH NDIO KUSEMA WATU WANATEMBEA NA NYUMBA 2 MIKONI MWAO JAMANIIIIIIIIIIII HAPO SINI NYUMBA 2 ZA KISASA(SIO KIFAHARI) ZA 30ML MBILI DAH MAGEP HAYA SIO MCHEZO
 
Sasa kwa mwezi una pocket money milioni 100 utaachaje kutumia kama hivo? Pesa ndivyo ilivyo, huwezi kuwa na pesa ukaishi maisha ya kimasikini, kwanza hela yenyewe itakukimbia. Vinginevyo iwe ni kwa masharti ya mganga.

Apple linalouzwa pale mwenge 1000/= mlimani city unaweza kuta unalipata kwa 10,000/=. Kila mmoja kwa uwezo wake
 
Majuma mawili yaliyopita niliona taarifa ya habari kapata tuzo ya wanawake wajasiriamali wenye mafanikio kupitia duka lake (Amorete) la Dubai
Ndiyo maana nikamuuliza hivyo. Kiufupi Amorete ipo ndani ya IPP yaani ni kampuni tanzu. Kufungwa kwa kufilisika sidhani labda waamue tu. Yaani Jackline ktk pesa ni kama mchaga. Kuiweka Amorete ndani ya IPP was a smart move.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…