mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Umemuuliza mwemyewe kanunua sh ngapi?
Maana macho madogo hawashindwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana macho madogo hawashindwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo wewe nani anakupangia matumizi yako ,hata wewe unaweza kuchangia sefuria huko kwenu lakini hujawahi hata kuchangia panadol,pesa yake ,shughuli aifanye yeye wewe mbiombio uje umpangie jinsi ya kutumia.Angechukua laki tano tu akampa mmasai amtengenezee mkoba kwa ngozi ya mbuzi, pesa inayobaki angefanyia mambo ya msingi au kuwasaidia wasio na uwezo kama hana kazi nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sote mimi nawewe sio wazalendo....tembeza cha ukucha....kwani uzalendo ni nini? we unavyoona ukiweza kujenga zahanati ndo mzalendo unaweza kujenga na usiwe mzalendo
nenda katika hospital ya wilaya ya hai kaulizie kuwa jaquiline kafanya nini, sio kubwatukabwatuka tu hovyo. pia ulizia shule za msingi wilaya ya hai na baadhi ya wilaya za dar uone madawati aliyochangia kupitia mfuko wake wa ntuyabaliweAngenunua hata kitanda kimoja kwenye zahanati ya kijijini kwao angekuwa ameisaidia jamii..
Sijasema hajafanya kitu...acha kushoboka tumia akilinenda katika hospital ya wilaya ya hai kaulizie kuwa jaquiline kafanya nini, sio kubwatukabwatuka tu hovyo. pia ulizia shule za msingi wilaya ya hai na baadhi ya wilaya za dar uone madawati aliyochangia kupitia mfuko wake wa ntuyabaliwe
punguza stress mkuu.....wivu utakumaliza....Hamna kitu!
Uwongo wake tu!
Mduka wake wa furniture imemshinda!
Hamna kitu kwa huyo mama walahi!
That’s all!
Hivi Diva ana hitaji Tsh ngapi?jamani diva the bawse mwenye kujisifu anaishi kwenye nini huko kakosa hela ya kupata mimba
tumsaidie
Povu la nini , huo ni mtazamo wangu sijamshikia bunduki asinunue huo mkebe wakeAcha hizo wewe nani anakupangia matumizi yako ,hata wewe unaweza kuchangia sefuria huko kwenu lakini hujawahi hata kuchangia panadol,pesa yake ,shughuli aifanye yeye wewe mbiombio uje umpangie jinsi ya kutumia.
Mbwembwe tuu, jeuri ya pesa, lkn mwisho mavumbiniYani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana
Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya hermes ya nchini ufaransa ambao unatajwa kuwa ni miongoni ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani
Mkoba huo sasa unamilikiwa na mjasiriamali na mfanyabiashara Jacqueline N Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eboy mikoba hiyo bei ni dola$ 26500 ambayo ni sawa na tsh milion 68
Sifa kubwa ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka na pia hata ukubwa wa brand ya hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya branda kubwa duniani za mavazi View attachment 843758View attachment 843759View attachment 843760
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha kuwa ulitakiwa uwe mkuuubwa kulingana na gharama yake
Dah mi nilijua bonge la begi yan mana 60milion si ya kitoto. Unapata gari kali sana kwa pesa hiyoMkuu unamaanisha kuwa ulitakiwa uwe mkuuubwa kulingana na gharama yake
Amorete imefungwa?Hamna kitu!
Uwongo wake tu!
Mduka wake wa furniture imemshinda!
Hamna kitu kwa huyo mama walahi!
That’s all!
Majuma mawili yaliyopita niliona taarifa ya habari kapata tuzo ya wanawake wajasiriamali wenye mafanikio kupitia duka lake (Amorete) la DubaiAmorete imefungwa?
Ndiyo maana nikamuuliza hivyo. Kiufupi Amorete ipo ndani ya IPP yaani ni kampuni tanzu. Kufungwa kwa kufilisika sidhani labda waamue tu. Yaani Jackline ktk pesa ni kama mchaga. Kuiweka Amorete ndani ya IPP was a smart move.Majuma mawili yaliyopita niliona taarifa ya habari kapata tuzo ya wanawake wajasiriamali wenye mafanikio kupitia duka lake (Amorete) la Dubai