Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

😂 😂 😂
 
Cresida,
yani ziro brain kabisa!
unaingia familia ya kitajiri unafikiri hawajui kuwa wanawindwa ?
Yan kirahisi tu paap, urithi 100% za hisa za mengi kwenye kila Uwekezaji amefanya!

kanimaliza zaidi
anasema nashangaa wanapiga kelele, wakati vya kugawana viko vingi!

ahahhahahahaha Jackie bana, awadanganye hao wanaomwona sa hiz na kumtolea mifano kuwa decent!
certified gold digger toka Enzi leo,useme kwanza sisi hatukuwahi kuzungumza kuhusu mali!
WEEEEEEH!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani niliwahi mkomesha mtu na hii hali!
Ile unajua kabisa kuwa anahaha, anapest, anaumia, watu wanacomment!
wakija kwenye page yako umepost kilimo cha matikiti!
ooooh sijui nini sijui nini!
unapost kuhamasisha mBio za Mwenge
Unajua ilibidi wanifuate watu, usifanye hivo huyu mtu atakufa!
Nawaambia kwani kuna nini?
 
Hahaha Ndio anafanyiwa Huyo mtusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wanawake kwenye huu uzi mnamwonea wivu sana Jackline, hivi hizo gene za wivu kwa wanawake wenzenu ni asilimia ngapi?

Wanawake pendaneni acheni ukuda
Yaani wanavyomchamba sasa na kushadadia!

Usifurahie matatizo ya mwenzako nawe huijui kesho yako. Wanawake jifunzeni kuwapenda ke wenzenu na kiwaombea mema.
 
Nyie wanawake kwenye huu uzi mnamwonea wivu sana Jackline, hivi hizo gene za wivu kwa wanawake wenzenu ni asilimia ngapi?

Wanawake pendaneni acheni ukuda
Bado haujajua tuu wanawake kua wanalogana wenyewe kwa wenyewe? Hawapendi waone mwenzao kafanikiwa uchawi mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamachame kwa dhuluma ni hatari sana. Ndio sababu hata kwenye uenyekiti hawataki kung'oka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…