Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

 
Kwenye wosia simetei at all ninachomtetea ni watu kumsema huyu dada as if yeye ndiye aliyemlazimisha Mengi kuwa naye. Kuwa treated kama a prostitute watu hawaconsidi kuwa huyu dada ameishi na Mengi in one roof na amezaa naye. She is a mother already. Ingawaje alichofanya Kwenye wosia hakikuwa poa.
 
Wanasema pia ana dharau na kiburi sana. Pesa inaleta ujeuri. Ukiangalia hio interview ya mahakama anapanic ovyo na maneno mengi ni ya kuambiwa tu bila ushahidi
Hivi Klyn anajua kuwa wakati ule yeye anakwenda ma holiday makubwa makubwa Regina alikuwa na majukumu ofisini na si kuwa hawezi kujirusha ila ana majukumu.
 
Nipo curious mbona ile ndoa haikuwekewa pingamizi na Mama Mercy alikuwa hai?

Kwa uelewa wangu mdogo Wa sheria za ndoa kuna machache ya kujiuliza yanayoweza kukupa majibu.

Kwanza, kama Mengi hakumuacha mke wake kwa taratibu zinazotambulika ki mahakama, Je akioa tena iyo ndoa ya pili itakuwa halali? Ndio maana uliona Jacky anaulizwa kama anao ushahidi Wa Mengi kumuacha mkewe akabakia kusema mume wangu aliniambia ivyo unfortunately mahakama hazitumii hearsay kama evidence, ilitakiwa aweke divorce papers mezani.

Pili ambayo ni muhimu na naona wengi hawaizungumzii, Je ndoa zinazozofungwa nje ya nchi kwenye foreign jurisdiction, wanandoa hao wanaporudi nchini iyo ndoa inatambulika kisheria automatically au kuna taratibu lazima wafuate ili ndoa yao itambulike mfano kusajili ndoa yao to the marriage registrar.

Na ata kama ndoa yako itatambulika nchini, lazima ujue in case of a dispute ni sheria zipi za ndoa zitatumika, sheria za nchi mlizofunga ndoa au sheria za nchi ambazo wanandoa wana makazi ya kudumu( permanent residence).

Nilivyoona tu mzee Mengi kampiga huyu slay queen destination wedding nikaamini kweli anao watu wazuri( wanasheria) wanaomshauri vizuri. Inawezekana mama Mercy Mengi kujua izo grounds ndio maana hakutaka kupoteza muda wake na hio ndoa ya mshua.
 
Ila Mengi why hakuweka mambo sawa na bayana kwa watoto wake wakubwa na mke mdogo. Sasa hivi haya makesi kungekuwa hamna kila mtu angekuwa na mishe zake.Akina baba mkijua kabisa kuna mke mdogo/ mkubwa /watoto wa nje au whatsoever ekeni mambo sawa mapema maana kuna mmoja lazima aumie
 
Jack alikua anaonewa huruma na wengi ila aliharibu mwenyewe. Maneno ya mauaji aliyatoa Mange na watu tukayadaka ila ndugu walizima ule moto na JK akasaidia zaidi msiba ukaisha salama. Mara paap bibie akaanza sarakasi kavujisha wosia,kaita wajane home,katoa onyo kali(kupitia mitandao) kwa watoto wakubwa kugusa mali za Mengi. Wenzie wapo kimya kimya,nae angekua na busara angepigana vita vya kimya kimya. Anachokifanya saiv kinamshusha kufikia hatua hio unayoiona ni uonevu
 
Sikujua vitu vipo complicated hivi kuna la kujifunza hapa
 
Atajua wapi kazoea maisha ya kupewa tu. Hapo ana biashara ya maana badala awekeze muda kuikuza na ubunifu zaidi ,yeye yupo busy kugombania jasho la watu
Hivi Klyn anajua kuwa wakati ule yeye anakwenda ma holiday makubwa makubwa Regina alikuwa na majukumu ofisini na si kuwa hawezi kujirusha ila ana majukumu.
 
Mick Jagger alimuacha mke wake kwa gharama ya milioni 20 tena za huruma kwakua ndoa ilifungwa Bali kumbe Uingereza haitambuliki
 
We ni nouma sana. Ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Alikua anapokea faida ya shares zake sio malipo walikubaliana hivyo kila mtu apokee za kwake
 
Mick Jagger alimuacha mke wake kwa gharama ya milioni 20 tena za huruma kwakua ndoa ilifungwa Bali kumbe Uingereza haitambuliki

Kwa kifupi Jacky got played, Mengi ni multimillionaire na mpaka kufika pale hiyo michezo
anayoleta Jacky sizani kama alikuwa haijui.

Namuonea huruma mama wawili kwa kupoteza pensheni yake(urithi), na kwa up and coming gold diggers kuna Mengi ya kujifunza kwenye hii case.
 
I love this game[emoji23][emoji23][emoji119]
In Evra's voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama unajua ulichoandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…