marehemu maza alikua mkuda balaa naona hata mwanae regina anapitia mulemuleKama sikosei mama mercy alimwambia mengibkama unataka kuoa hiko kimwanamke chako basi tukubaliane utakua unanilipa dola elf 45 kwa mwezi. Hii ilikua komesha. [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] baada ya mama kufariki mengi akajua ameutua mzigo kumbe na yeye safari ikafika. Muda utafichua kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya uliezaliwa nae tumbo moja na mkeo unafikiri mwenye uchungu na wewe ni nani?- ni mkeo na si ndugu zako labda watoto wako pia wanaweza kuwa na uchungu na wewe Ila kama katika maisha yako unawahesabia ndugu eti kisa mlizaliwa tumbo moja- pole. Labda kama unamali watakuthamini mwanzo mwisho. Familia yako ni mkeo na watoto wako hivyo hivyo ndugu zako familia yao ni wenza wao na watoto wao, familia uliyozaliwa ni ya kwenu na sio yakwako.Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.
Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Kati ya uliezaliwa nae tumbo moja na mkeo unafikiri mwenye uchungu na wewe ni nani?- ni mkeo na si ndugu zako labda watoto wako pia wanaweza kuwa na uchungu na wewe Ila kama katika maisha yako unawahesabia ndugu eti kisa mlizaliwa tumbo moja- pole. Labda kama unamali watakuthamini mwanzo mwisho. Familia yako ni mkeo na watoto wako hivyo hivyo ndugu zako familia yao ni wenza wao na watoto wao, familia uliyozaliwa ni ya kwenu na sio yakwako.
Nimeongelea kwa general view ya ulimwengu, sijaongelea upanda wa mengi na wakeze."Uliyetafuta naye kuni ndiye wa kuota naye moto"
Hao watoto wametafuta kuni na huyo mzee zaidi ya miaka 25 ,wamepita tabu,milima,mabonde,wameshare maumivu,huzuni furaha na baba yao miaka zaidi 25.Wametafuta shamba wakiwa na baba yao,wakafyeka,wakalima wakapalilia,wakavuna na wakaweka ghalani.
Leo hii unataka kuniambia anayeenda kubeba mazao ghalani ana uchungu kuliko hao watoto na aliyekuwa marehemu mama yao?.
Huyo mke naye inategemea mmeanzia wapi,mtu kaja kipindi wenzake washavuna then ndio awe na uchungu.You're kidding me.
General view ya ulimwengu au Mtuzamo wako?Nimeongelea kwa general view ya ulimwengu, sijaongelea upanda wa mengi na wakeze.
Anyway kwa upande wa mengi mwenye Mali ndo huamua nani apate. Anaweza amua nyima watoto wake akampa kimada ili hali kama aliandika wosia wa namna hiyo.
Kwani mi nimekataa?! Nimesema ukiamua ukiamua UKIAMUA mwenye Mali unaangalia mtazamo wako, ndio unaamua bila kushikiwa bunduki wala kisu, hauhitaji ushauri wala shinikizo maana kitu ni cha kwako unampa unaetaka, ukipenda utumie ubinadamu au unyama wa kuwapa ndugu zako au kuwanyima ni wewe, wapo ambao mali zao zote huwaachia watoto yatima au watu wenye shida, hao nao pia huamua maana ni cha kwako, unaamua, haulazimishwi nini cha kufanya au nani wa kumpa.General view ya ulimwengu au Mtuzamo wako?
Hivi unazani watu wana amua amua tu?
We jiulize pamoja Mengi alikuwa na matatizo na marehemu mke wake,lakini bado kampuni zote zilikuwa zinashikiliwa na wanae,apo ndio uone Mengi anawaamini na kuwapenda wanae kuliko kitu chochote sababu anajua machungu waliyoyapitia ktk kutafuta mali.
Sizani kama Mengi aliamua hivyo sababu ukitizama ,Mengi aliwaandaa watoto wake tokea wakiwa wadogo waje kuendesha biashara zake sababu anajua hawata msaliti.
Mimi na kwambia siku zote sisi wanaume tuna waamini sana watu tulianza kutafuta nao,nina watu watatu na wafahamu wawili wanajeshi mmoja alikuwa jangili miaka ya 97 .Hawa wanajeshi wawili walikuwa na nyumba ndogo baada ya kustaafu wamerudi kwa wake zao mafao yao wamewapa wake zao na wote walizaa nje mmoja kishavuta na mali zake zote kampa mke mkubwa.
Sasa huyu jangili kesi yake inataka kufanana na Mengi alikuwa na mali nyingi mno nyumba magari,mabasi mashamba nk,yy naye alitengana na mke wake wa ndoa akaenda kwa nyumba ndogo,kazaa nae akamjengea Nyumba.
Wakati mzee anaumwa mke mkubwa alisikia akaenda kumuomba yule mke mdogo kwamba amwache basi amuuguze mumewe yule mke mdogo akakataa.
Siku mzee kavuta watu wakazika mzee kumbe ana mwanasheria wake ambaye wanandugu wanamfahamu,amesoma usiha pale mke mdogo na mtoto wake mwakaambulia nyumba wanayo kaa na magari mawili,mali nyingine zote kapewa mke mkubwa na wanawe,bi mdogo pale pale akazimia,kuamka wenzake washaondoka.
"Uliyetafuta naye kuni ndiye wakuota naye moto"
Tuiachie mahakama wao ndio wamuuzi wa mwisho.
Regina noma hajifichi..kauzu zaidi ya dagaamarehemu maza alikua mkuda balaa naona hata mwanae regina anapitia mulemule
Regina noma hajifichi..kauzu zaidi ya dagaa
Sasa nilikushangaa ulivyotumia IN GENERAL.Ngumu sana mtu aliyehangaika na familia yake kutafuta mali na watoto zake kawajenga ktk msingi ya kusimamia mali alafu awaache bila kitu ni NGUMU.Kwani mi nimekataa?! Nimesema ukiamua ukiamua UKIAMUA mwenye Mali unaangalia mtazamo wako, ndio unaamua bila kushikiwa bunduki wala kisu, hauhitaji ushauri wala shinikizo maana kitu ni cha kwako unampa unaetaka, ukipenda utumie ubinadamu au unyama wa kuwapa ndugu zako au kuwanyima ni wewe, wapo ambao mali zao zote huwaachia watoto yatima au watu wenye shida, hao nao pia huamua maana ni cha kwako, unaamua, haulazimishwi nini cha kufanya au nani wa kumpa.
Kama ulizitafuta peke yako maamuzi ni yako na kama ulizitafuta na mtu au na watu maamuzi ni ya wewe na Huyo mtu au watu.
Mengi alizitafuta na mkewe na hivyo mkewe alikuwa na share kwenye hizo mali na hivyo hakuwa na budi kuwa sehemu ya Mali. Kuwashirikisha watoto wake ulikuwa ni uamuzi wake kama ambavyo nimesema 'ukiamua' Mengi aliwashirikisha watoto wake kwa sababu of course ni watoto wake aliwapenda na aliwaamini lakini so kila tajiri huwashirikisha watoto wake au anawaamini watoto wake maana kuna visa kibao tu vya watoto na wazazi kusalitiana kisa Mali. Na si kila tajiri anapeleka Mali kwa mkewe alietalikiana nae eti kisa tu amezaa nae ukizingatia ukitalakiana na mkeo unampa chake na anakuwa hana haki tena na wewe na Mali zako .
Hivyo visa vyako mi pia na kisa cha mwanamume aliyemwachia mistress wake Mali zake zote bila kuwapa watoto wake hata shilingi MIA sababu Mali zilikuwa zake na wala hakushirikisha watoto wake kwenye biashara zake na mkewe walikuwa wameshaachana na hakua nahaki nae tena.Na aliandika mirathi akiwa hai akaithibitisha mahakamani na alipokufa mirathi ikafuatwa.
Hivyo mengine ni mtazamo na mila za Kiafrica na sio kwamba yanafuatwa na watu wote, cha muhimu sheria huangalia kipi ni cha haki na kipi sio haki. Na ni kutegemea na hali halisi ya kila tukio. Sio kila matukio ya Mali na mirathi yanafanana.
Sasa nilikushangaa ulivyotumia IN GENERAL.Ngumu sana mtu aliyehangaika na familia yake kutafuta mali na watoto zake kawajenga ktk msingi ya kusimamia mali alafu awaache bila kitu ni NGUMU.
Ukitaka kujua yule mzee anawa amini na kuwapenda wanae,kipindi ambacho ana matatizo na mke wake lkn bado kampuni zake zote walikuwa wanazisimamia wanawe sababu anajua potential ya wanawe ktk Kuzisimamia na kuziendeleza mali zake.
Leo hii unataka kuwatoa wazoefu, wasomi, walio fanya hizo kazi na kuleta maendeleo, kukufanya wewe kwenda Dubai km una kwenda Kaliakoo.. Badala ya kukaa Karibu nao ili watoto wako waje wafaidike kwa kupewa ujuzi, elimu ili baadaye waendeleze mali za Mengi.. Wewe ndo unataka kuwafukuza akili gani hizi?
...
Mkuu kwa wanawake hiki sio kitu cha kushangaza wanaomponda hapa hata wakati akiwa na Mengi walikuwa wanamsemaUkisoma between lines hata comments zimejaa chuki.Hii kesi kila mtu anavuta kwake ndugu wenyew hao nimeshangaa sana mzee kafa wanaomba usimamizi wa mali ilhali Regina na Abdiel wapo hai na ni watu wazima.Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!
Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.
BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.
Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.
Mifano uliyotoa ni mizuri hao walikuwa ni"vimada"hawakuwaoa waliwaficha.lakini huyu Jacky mzee akimficha? Kuna ambae alikuwa hajui anaishi na mzee?Huyo mzee na mke wake walitibuana since wayback. Habari za mwanzo zinasema Huyu mama Mercy alimuwekeaga Mengi sumu kwenye chakula akaokolewa na housegirl na ndio ikawa mwanzo wa ugomvi hatujui ilikuwa ni kweli au laa na pia taarifa za kuwa alikuwa ni mkorofi sana ndio maana walishindwana haya ni ya miaka mingi iliyopita?Inshort tuache mahakama itende haki that's all maana Mengi hakushurutishwa kuishi naye alienda mwenyewe!na kumzalisha na kumuoa aliamua mwenyeweGeneral view ya ulimwengu au Mtuzamo wako?
Hivi unazani watu wana amua amua tu?
We jiulize pamoja Mengi alikuwa na matatizo na marehemu mke wake,lakini bado kampuni zote zilikuwa zinashikiliwa na wanae,apo ndio uone Mengi anawaamini na kuwapenda wanae kuliko kitu chochote sababu anajua machungu waliyoyapitia ktk kutafuta mali.
Sizani kama Mengi aliamua hivyo sababu ukitizama ,Mengi aliwaandaa watoto wake tokea wakiwa wadogo waje kuendesha biashara zake sababu anajua hawata msaliti.
Mimi na kwambia siku zote sisi wanaume tuna waamini sana watu tulianza kutafuta nao,nina watu watatu na wafahamu wawili wanajeshi mmoja alikuwa jangili miaka ya 97 .Hawa wanajeshi wawili walikuwa na nyumba ndogo baada ya kustaafu wamerudi kwa wake zao mafao yao wamewapa wake zao na wote walizaa nje mmoja kishavuta na mali zake zote kampa mke mkubwa.
Sasa huyu jangili kesi yake inataka kufanana na Mengi alikuwa na mali nyingi mno nyumba magari,mabasi mashamba nk,yy naye alitengana na mke wake wa ndoa akaenda kwa nyumba ndogo,kazaa nae akamjengea Nyumba.
Wakati mzee anaumwa mke mkubwa alisikia akaenda kumuomba yule mke mdogo kwamba amwache basi amuuguze mumewe yule mke mdogo akakataa.
Siku mzee kavuta watu wakazika mzee kumbe ana mwanasheria wake ambaye wanandugu wanamfahamu,amesoma usiha pale mke mdogo na mtoto wake mwakaambulia nyumba wanayo kaa na magari mawili,mali nyingine zote kapewa mke mkubwa na wanawe,bi mdogo pale pale akazimia,kuamka wenzake washaondoka.
"Uliyetafuta naye kuni ndiye wakuota naye moto"
Tuiachie mahakama wao ndio wamuuzi wa mwisho.
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!
Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.
BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.
Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!
Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.
BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.
Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.
Kawafukuzaje Jack wakati wosia kaandika Mengi?Mwanamke hata Regina ni Mwanamke.. Swala hapa ni haki kwa wote iwe ni Mwanamke, mme au watoto.. Kila mtu apate haki anayostahili... Hv unaona haki kweli Jack kufukuza watoto wa marehemu ambao wana mchango makubwa katika mafanikio ya Mengi?